CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Inasikitisha sana Watanganyika kuumiza na kuua Watanganyika wenzao ili Mzanzibari aendelee kuitawala Tanganyika.
Yanaoendelea kwa 90% yanafanana na uongo, fitna na hofu waliyokuwa nayo watawala wa Kiyahudi hadi kumkamata Yesu Kristo na kumhukumu kwa hila!Ukamataji wa leo ungeleta picha mbaya sana kwa Mheshimiwa Mama hivyo ikapendekezwa ifanyike baadae wiki hii na possible ni ijumaa.
Hawa ni majambazi wanaovaa uniformInawezekana hao waliovaa kininja/boko haram/alshabaab siyo polisi bali wanavikundi vya utekaji wanafanya kazi haramu kwa hisani ya polisi.
Kimaadili, polisi wakiwa wanafanya kazi ya kulinda Raia Ni SiSi na Mali zao hawawezi/hawwpaswi kuvaa hivi.
Hii picha imepigwa leo, na hao ni polisi waliokuwa kwenye mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliohutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho, John Heche, wilayani Sengerema, mkoa wa Mwanza.
Keywords: maadili, polisi.View attachment 3332245
Alaaniwe Sultan Mbowe na genge lake G 55.Mbowe jitu la hovyo sana alificha uchafu wa huyu mama kwa manufaa yake
Hao wote uliowataja ni Wana CCM na wanadhani wajibu wao mkubwa ni kuhakikisha CCM inabaki madarakani kwa gharama yoyote ile.Wako wapi akina Pius Msekwa, Jakaya Mrisho Kikwete, Frederick Sumaye, Peter Kayanza Pinda, Dr Mohammed Shein, David Mwamnyange, Venance Mabeyo, Anna Makida, Job Ndugai, Dr Kipilimba, Joseph Sinde Warioba, Joseph Butiku na wengine wengi, kwa umoja wao wamemshauri nini mtawala na serikali yake?
Hakuna kitabu hiki, kuna vitabu "Things Fall Apart" na No Longer at Ease" chagua ni kipi kati ya hivyo.Kuna kitabu kwenye literature tulisoma enzi hizo "Things no longer easy."
Polisi wanaish maisha kama mbuzNimepenyezewa habari usiku huu kwamba Polisi wameambia wa cancel kwanza ukamataji wa Heche hadi ugeni upite kwanza.
Ukamataji wa leo ungeleta picha mbaya sana kwa Mheshimiwa Mama hivyo ikapendekezwa ifanyike baadae wiki hii na possible ni ijumaa.
Uhakika wanataka wamkamye na wamuunganishe na Lisu kwenye ishu ya Uhaini.
Wakumbusheni yanayoendelea ni mbegu nchini ni mbegu,Hao wote uliowataja ni Wana CCM na wanadhani wajibu wao mkubwa ni kuhakikisha CCM inabaki madarakani kwa gharama yoyote ile.
Bahati mbaya na wao wanafaidika kwa mfumo uliopo!
Tutaanza kwanza kwa kuwasughulikia polisi ha ha ha😎Ikitokea nchi hii tukaongoza CHADEMA kwakweli litakua Taifa la fujo na vurugu kila siku
Sasa ukisema utawashughulika adhabu yake ni kukamatwwa?Sasa si kasema atawashughulikia hao polisi, shida iko wapi hata akikamatwa?😁
Yeremia 20:9Wanasumbuliwa na WITO!
Sawa. I meant 'No Longer at Ease'.Hakuna kitabu hiki, kuna vitabu "Things Fall Apart" na No Longer at Ease" chagua ni kipi kati ya hivyo.
Asante mkuu. Nilimaanisha 'No Longer at Ease'.Mkuu nikusaidie kidogo. “Things Fall Apart” na “No Longer at Easy” vyote vya mwandishi nguli, Chinua Achebe
Nilimaanisha 'No Longer at Ease'.Things fall apart .
No longer at ease.
Correct the mistake, please! It's 'No Longer at Ease'.Hicho kitabu ulisoma shule gani Mkuu!?
Kuna kitabu kwenye literature tulisoma enzi hizo "Things no longer easy."
No Longer at Ease'.Ni kitabu gani hicho!? Au ulimaanisha 'Things fall apart' au 'No longer at easy'
Ni 'No Longer at Ease'.It should be "Things no longer at ease".
No Longer at Ease'.Things fall apart na No longer at easy