Tetesi: Heche atakamatwa na Polisi pindi tu Raisi wa Finland akiondoka nchini hapo ni kwenye ijumaa huko

Nimepenyezewa habari usiku huu kwamba Polisi wameambia wa cancel kwanza ukamataji wa Heche hadi ugeni upite kwanza.

Ukamataji wa leo ungeleta picha mbaya sana kwa Mheshimiwa Mama hivyo ikapendekezwa ifanyike baadae wiki hii na possible ni ijumaa.

Uhakika wanataka wamkamye na wamuunganishe na Lisu kwenye ishu ya Uhaini.
Wakisha mkamata wamtangaze mama mshindi wa kura zote za urais.
 
Inawezekana hao waliovaa kininja/boko haram/alshabaab siyo polisi bali wanavikundi vya utekaji wanafanya kazi haramu kwa hisani ya polisi.
Kimaadili, polisi wakiwa wanafanya kazi ya kulinda Raia Ni SiSi na Mali zao hawawezi/hawwpaswi kuvaa hivi.
Hii picha imepigwa leo, na hao ni polisi waliokuwa kwenye mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliohutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho, John Heche, wilayani Sengerema, mkoa wa Mwanza.
Keywords: maadili, polisi.
IMG-20250513-WA0001.jpg
 
Nimepenyezewa habari usiku huu kwamba Polisi wameambia wa cancel kwanza ukamataji wa Heche hadi ugeni upite kwanza.

Ukamataji wa leo ungeleta picha mbaya sana kwa Mheshimiwa Mama hivyo ikapendekezwa ifanyike baadae wiki hii na possible ni ijumaa.

Uhakika wanataka wamkamye na wamuunganishe na Lisu kwenye ishu ya Uhaini.
Nadhani wamechelewa mno. Kuwakamata viongozi wa CHADEMA sasa hakutaokoa jahazi. Too late.
Jini lipo nje ya chupa sasa.
 
Tanzania watu wamekua wakatili zile philosophy za Mwalimu Nyerere zinapotea utadhani Wanyarwanda/ Wakongo ndio wameshika kiti wao hawajali utu kabisaa...
Wale wote wenye Falsafa za Mwalimu je bado mupooo ???! 😅
Munaitwa mukuje pande hii tuongee 🤣 !
Au munaogopa kudhalilishwa ?????! 🤣😳🙄🤷‍♂️ !
 
Nimepenyezewa habari usiku huu kwamba Polisi wameambia wa cancel kwanza ukamataji wa Heche hadi ugeni upite kwanza.

Ukamataji wa leo ungeleta picha mbaya sana kwa Mheshimiwa Mama hivyo ikapendekezwa ifanyike baadae wiki hii na possible ni ijumaa.

Uhakika wanataka wamkamye na wamuunganishe na Lisu kwenye ishu ya Uhaini.
Nilisikia miaka mingi iliyopita kua CDM inaenda kufa mara CDM ishajifia, je hiki chama kimejifia tayar kwa kimuhemuhe wanachowapa viongoz na geshi rao ra porishi?
 
Nimepenyezewa habari usiku huu kwamba Polisi wameambia wa cancel kwanza ukamataji wa Heche hadi ugeni upite kwanza.

Ukamataji wa leo ungeleta picha mbaya sana kwa Mheshimiwa Mama hivyo ikapendekezwa ifanyike baadae wiki hii na possible ni ijumaa.

Uhakika wanataka wamkamye na wamuunganishe na Lisu kwenye ishu ya Uhaini.
Kama kuna ukweli wowote kwenye hilo, basi nchi imefikia pabaya.
Nadhan sasa ni wakati wa waandish wa habari kuchukua picha na matukio yote na kupeleka nje ili haki halisi ionekan
 
Nimepenyezewa habari usiku huu kwamba Polisi wameambia wa cancel kwanza ukamataji wa Heche hadi ugeni upite kwanza.

Ukamataji wa leo ungeleta picha mbaya sana kwa Mheshimiwa Mama hivyo ikapendekezwa ifanyike baadae wiki hii na possible ni ijumaa.

Uhakika wanataka wamkamye na wamuunganishe na Lisu kwenye ishu ya Uhaini.
Halafu mafisadi wanaohujumu uchumi wetu wapo tu wanatamba
 
Nimepenyezewa habari usiku huu kwamba Polisi wameambia wa cancel kwanza ukamataji wa Heche hadi ugeni upite kwanza.

Ukamataji wa leo ungeleta picha mbaya sana kwa Mheshimiwa Mama hivyo ikapendekezwa ifanyike baadae wiki hii na possible ni ijumaa.

Uhakika wanataka wamkamye na wamuunganishe na Lisu kwenye ishu ya Uhaini.
Mungu anapokupa Urais halafu baadaye unautaka kinguvu
 
Inawezekana hao waliovaa kininja/boko haram/alshabaab siyo polisi bali wanavikundi vya utekaji wanafanya kazi haramu kwa hisani ya polisi.
Kimaadili, polisi wakiwa wanafanya kazi ya kulinda Raia Ni SiSi na Mali zao hawawezi/hawwpaswi kuvaa hivi.
Hii picha imepigwa leo, na hao ni polisi waliokuwa kwenye mkutano wa hadhara wa CHADEMA uliohutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho, John Heche, wilayani Sengerema, mkoa wa Mwanza.
Keywords: maadili, polisi.View attachment 3332245
Uzuri sheria zipo, they can be held accountable mahakamani. Or maybe wasije
 
Nimepenyezewa habari usiku huu kwamba Polisi wameambia wa cancel kwanza ukamataji wa Heche hadi ugeni upite kwanza.

Ukamataji wa leo ungeleta picha mbaya sana kwa Mheshimiwa Mama hivyo ikapendekezwa ifanyike baadae wiki hii na possible ni ijumaa.

Uhakika wanataka wamkamye na wamuunganishe na Lisu kwenye ishu ya Uhaini.
Ramli
 
Kuna kitabu kwenye literature tulisoma enzi hizo "Things no longer easy."
Things fall apart, halafu akaja akatoa na kingine "No Longer at Easy". Hivi viwili ni series za mwamba Chinua Achebe.

My correction.
 
Back
Top Bottom