Tetesi: Heche atakamatwa na Polisi pindi tu Raisi wa Finland akiondoka nchini hapo ni kwenye ijumaa huko

Na huyu Mzee tunaambiwa alikuwa anaandika genres of literature zote, na kuna Yule Ngugi wa Thiong'o huwa nazielewa Sana kazi zao mkuu.
 
Nimepenyezewa habari usiku huu kwamba Polisi wameambia wa cancel kwanza ukamataji wa Heche hadi ugeni upite kwanza.

Ukamataji wa leo ungeleta picha mbaya sana kwa Mheshimiwa Mama hivyo ikapendekezwa ifanyike baadae wiki hii na possible ni ijumaa.

Uhakika wanataka wamkamye na wamuunganishe na Lisu kwenye ishu ya Uhain
Nikiwa raia wa vijijini vijijini vya ndani ndani huku, ambaye sina hata elimu ya Gumbaro naomba kuuliza,

Hivi hakuna uwezekano wa kumtumia barua Kiongozi wa rank hiyo kuwa anahitajika polisi badala ya kwenda kumkamata kinguvu?
 
Nimepenyezewa habari usiku huu kwamba Polisi wameambia wa cancel kwanza ukamataji wa Heche hadi ugeni upite kwanza.

Ukamataji wa leo ungeleta picha mbaya sana kwa Mheshimiwa Mama hivyo ikapendekezwa ifanyike baadae wiki hii na possible ni ijumaa.

Uhakika wanataka wamkamye na wamuunganishe na Lisu kwenye ishu ya Uhaini.
Kwa kosa gani sasa mkuu

Mpenyeza ujumbe hajakwambia kosa la Heche hadi ahitajike mikononi mwa hao wameza uhai
 
Nimepenyezewa habari usiku huu kwamba Polisi wameambia wa cancel kwanza ukamataji wa Heche hadi ugeni upite kwanza.

Ukamataji wa leo ungeleta picha mbaya sana kwa Mheshimiwa Mama hivyo ikapendekezwa ifanyike baadae wiki hii na possible ni ijumaa.

Uhakika wanataka wamkamye na wamuunganishe na Lisu kwenye ishu ya Uhaini.
Je akikamatwa Heche sijui yasemwa na Mungubariki, L.
Je mikutano ya No Reformed No Election itaweza kuendelea au mipango ya ccm itakuwa imeenda sawia kama draft zao?
 
Nikiwa raia wa vijiji vijiji vya ndani ndani huku, ambaye sina hata elimu ya Gumbaro naomba kuuliza,

Hivi hakuna uwezekano wa kumtumia barua Kiongozi wa rank hiyo kuwa anahitajika polisi badala ya kwenda kumkamata kinguvu?
Walikuwa wanafanya hivyo mbona? Na ndio utaratibu ila siku hizi wameacha
 
Kama utaratibu uko hivyo je walinzi wa Heche wakiamua kuwashambulia wakamataji kwa kuwapiga risasi kwa sababu hawajafuata utaratibu na wamevaa kininja ninja je watakuwa na makosa?
 
Actualy matumizi ya silaa yako tofauti sana. ni last option, mpaka wafikie wametoa silaha nje means wahisika hawajajitambulisha, wamevamia
 
Ni kitabu gani hicho!? Au ulimaanisha 'Things fall apart' au 'No longer at easy'
Kweli sisi wa TZ tuna issue na kiingereza. Anayejaribu kumsahihisha mwenzake na yeye anakosea!
 
Actualy matumizi ya silaa yako tofauti sana. ni last option, mpaka wafikie wametoa silaha nje means wahisika hawajajitambulisha, wamevamia
Aiseeee, kumbe hata nchi ambazo zilijikuta zina makundi ya waasi ni kwa sababu ya watawala kutokutenda haki kwa makundi fulani fulani, end of the day wanazaliwa waaasi.
Je nchi hii haina Wazee walio litumikia taifa hili kwa rank za juu,
Je hakuna Baraza la usalama la Taifa?
Je wamefanya nini kukaa na pande zote mbili watawala na vyama vya siasa kuwashauri na kufikia makubaliano maalumu kwa ajili ya mustakabali wa taifa?
Kwa nini wastaafu wako kimya mbegu hizi mbaya zinapopandwa kwenye taifa?
Wako wapi akina Pius Msekwa, Jakaya Mrisho Kikwete, Frederick Sumaye, Peter Kayanza Pinda, Dr Mohammed Shein, David Mwamnyange, Venance Mabeyo, Anna Makida, Job Ndugai, Dr Kipilimba, Joseph Sinde Warioba, Joseph Butiku na wengine wengi, kwa umoja wao wamemshauri nini mtawala na serikali yake?
 
Hawezi ku disappear like shwaaaaa bila kuacha alama.Kila waki mzoom wanaona jiwe.
 
Back
Top Bottom