ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 5,424
- 6,327
kulambalamba wazungu ndio kitu wanajua
Mim kazi yangu nikukuletea yanayofanywa na ccm.
kulambalamba wazungu ndio kitu wanajua
Hapo ndio mnapofeli..Ccm hawana hoja za kupeleka ktk meza ya maridhiano.
..mauaji, utekaji, utesaji, kuvuruga uchaguzi, kunajisi vyombo vya dola, yote hayo yanahusishwa na Ccm.
..mazingira hayo ndio yanayofanya Ccm ipige chenga kwenda kwenye meza ya maridhiano na uwepo wa MSULUHISHI WA KIMATAIFA.
Hapo ndio mnapofeli
Hivi unajua kuna mikutano kila siku ya Israel na Palestine, unajua kila wakiaanza majadiliano, Palestine analeta malamiko yote mezani halafu anaambiwa, hayahusiani , kuwa hapa umekuja kwenye maridhiano, sahau kila kitu tuanze upya.
Palestine anasema sisahau kitu na fk off all, na vita vinaanza tena, ukipita muda tena wanarudi kwenye maridhiano na style ni ile ile sisahau kitu
Sasa mnapotaka kwenda kujadili maridhiano, huwa hawapeleki malalamiko
Nimesoma mara mbili nijue ulichoandika (mara nyingi sihitaji kufanya hivyo).Wapeni uwanja fair wananchi tuamue.
Umekimbia haraka mno kama unaharisha.Siamini kauli kama hii ya maridhiano inatolewa na heche!!!...tena kipindi kama hichi...
Kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai!....
Pesa mwanaharamu!
CHADEMA GUDUBAI!!!!
That's the bottomline.Heche usipotoke, hakuna maridhiano yoyotw na majambazi.
CCM waeleze miili ya watu waliouwawa October 29 ipo wapi kwanza , watu wakishazika tufahamu aliyeua awajibike halafu uchaguzi urudiwe ndio itakua maridhiano.
Hakuna maridhiano na watu ambao mikono na nguo zao zimejaa damu za watanganyika.That's the bottomline.
Heche, pengine kwa msukumo toka nje ya chama anawatupia kamba ya kuwaokoa waovu.
Utaanzia wapi kuridhiana na mtu asiyekiri makosa yake na anaendelea kutenda makosa yaleyale!
Heche ni lazima apewe tahadhari. Huyo mpatanishi 'neutral' atapatikana wapi?
Swala la maridhiano ni mchakato baina ya waTanzania wenyewe ambao hawakuhusika na uovu.
Upatanishwe vipi wakati Samia mwenyewe na Genge lake wakisimamia mchakato mzima; inawezekana hiyo?
Hata ccm hawataki maridhiano na chadema. Wanaridhiana nini?Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche Juni 25, 2026 kwenye mahojiano na kituo cha Redio, cha VOS amesema kuwa chama hicho hakiko tayari kuingia kwenye maridhiano yoyote na Chama Cha Mapinduzi (CCM) bila uwepo wa mpatanishi wa kimataifa (mediator) asiyekuwa na upande, akitolea mfano wa mifumo ya usuluhishi iliyowahi kutumika nchini Kenya na kwingineko duniani.
Heche amesisitiza kuwa ili maridhiano hayo yawe ya kweli na yenye tija, lazima mpatanishi huyo atoke katika taasisi kubwa kama vile Jumuia ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC), Umoja wa Afrika (AU), au Umoja wa Ulaya (EU). Amesema nchi ya Tanzania ni sehemu ya dunia, hivyo kuwepo kwa mpatanishi wa nje si jambo la kigeni, na amekosoa vikali mtazamo wa viongozi wanaodai kuwa kuwashirikisha wadau wa kimataifa ni "kupeleka mambo ya ndani nje ya nchi."
Soma:
Hapo huna hoja. Hao wawili wamefanya kwa nafasii zao kama viongozi wa serikali na siyo kama viongozi wa CCM
Hapo huna hoja. Hao wawili wamefanya kwa nafasii zao kama viongozi wa serikali na siyo kama viongozi wa CCM.
Ni viongozi wa chama gani?Hapo huna hoja. Hao wawili wamefanya kwa nafasii zao kama viongozi wa serikali na siyo kama viongozi wa CCM
Ni wawakilishi kupitia CCMNi viongozi wa chama gani?
Anaitaja Kenya kwa kuwa ni kwao, hata hivyo sijamsikia kiongozi wa CCM anayezungumzia maridhiano na chadema. CCM sidhani km ina cha kuridhiana na chademaMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche Juni 25, 2026 kwenye mahojiano na kituo cha Redio, cha VOS amesema kuwa chama hicho hakiko tayari kuingia kwenye maridhiano yoyote na Chama Cha Mapinduzi (CCM) bila uwepo wa mpatanishi wa kimataifa (mediator) asiyekuwa na upande, akitolea mfano wa mifumo ya usuluhishi iliyowahi kutumika nchini Kenya na kwingineko duniani.
Heche amesisitiza kuwa ili maridhiano hayo yawe ya kweli na yenye tija, lazima mpatanishi huyo atoke katika taasisi kubwa kama vile Jumuia ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC), Umoja wa Afrika (AU), au Umoja wa Ulaya (EU). Amesema nchi ya Tanzania ni sehemu ya dunia, hivyo kuwepo kwa mpatanishi wa nje si jambo la kigeni, na amekosoa vikali mtazamo wa viongozi wanaodai kuwa kuwashirikisha wadau wa kimataifa ni "kupeleka mambo ya ndani nje ya nchi."
Soma:
Chadema inapendaga kujipa umuhimu ambao haina, Samia hata haiwazi chadema anachapa zake kazi. Maridhiano yaliyozungumziwa ni ya jamii yoteMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche Juni 25, 2026 kwenye mahojiano na kituo cha Redio, cha VOS amesema kuwa chama hicho hakiko tayari kuingia kwenye maridhiano yoyote na Chama Cha Mapinduzi (CCM) bila uwepo wa mpatanishi wa kimataifa (mediator) asiyekuwa na upande, akitolea mfano wa mifumo ya usuluhishi iliyowahi kutumika nchini Kenya na kwingineko duniani.