Heche: CHADEMA haitafanya maridhiano na CCM bila mpatanishi wa kimataifa

Chadema inapendaga kujipa umuhimu ambao haina, Samia hata haiwazi chadema anachapa zake kazi. Maridhiano yaliyozungumziwa ni ya jamii yote
Samia alishinda kwa zaidi ya 90%
Sasa hayo maridhiano ya jamii nzima ya umuhimu gani?
Au walidanganya %
 
Nianze na nukuu hii ambayo ni mtazamo/msimamo wangu mimi mwenyewe kama mwandishi wa andiko hili👇🏽

"There is no a loyal Politician in a presence of Iternal Party Political Vacuum...".Swali hapa ni Je, "is Chadema Caught in Political Dillema?...".

Siku moja pale Mahakamani Kisutu,Mh Mwenyekiti wa Taifa kivuli wa Chadema,Tundu Antipass Lissu alisikika akimwagiza Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa,John Heche kupitia Katibu Mkuu John Mnyika kumpelekea VITABU vya HESABU za Chama,Gerezani UKONGA.

BAADAE kukaibuka sakata la kuliwa kwa baadhi ya fedha ambazo Mh Tundu Lissu alichangiwa na Wanachama,mpaka familia ya ya Mh Tundu Antipass Lissu ikaingilia kati.LIKAZIMWA LIKAPITA.

WIKI juzi Katibu Mkuu wa Chadema Ndugu John Mnyika akatoka hadharani na kusema Chama chao kimepoteza zaidi ya Tsh milioni 900+ kwa sababu ya kufungiwa shughuli zake za kisiasa na fedha hizo za wafadhiri zimerudishwa.Badae tena KM Mnyika alisikika akiomba ruzuku "yao" ya Tsh Milioni 500 kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa.

NINI NATAKA KUSEMA?

Ni wazi kuwa Chadema kwa sasa hawana fedha za kuendesha hata Ofisi Ofisi na wamebaki kutegemea "KUPORA" fedha kutoka kwa Watanzania kupitia TONE TONE.

Katika mazingira haya☝🏽☝🏽,ni rahisi sana kuelewa ukweli wa shutuma ambazo wanachama wa Chadema mikoani na wilayani kwa sasa kwanini wanamshutumu Makamu Mwenyekiti ndugu John Heche kwa KUIBA fedha za Chama.

Taarifa za hivi karibuni kutoka ndani ya Chama zinasema kuwa ndugu John Heche huyu huyu alichukua Tsh Milioni 60 kutoka kwa mdau mmoja na "KUZISUNDA" kama fedha zake binafsi na alipoulizwa na yule Mbunge wa zamani wa Arusha,Ndugu John Heche alijibu kuwa hakujua kwamba fedha hizo(M60) zilikuwa za Chama.🤣🤣

Katika mazingira haya ni wazi kuwa Shutuma dhidi yake(John Heche) ni JUSTIFIABLE.

UTHIBITISHO WA KINADHARIA(THEORY)KUHUSU SHUTUMA DHIDI YA JOHN HECHE.

Katika mjadala huu wa kuthibitisha shutuma dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema,nitatumia nadharia ya "Party Power Struggle Theory".,inasema na hapa nanukuu kwa kingereza👇🏽👇🏽

"It is Internal Competition between Elite fanctions and Organizational levels(Central vs Grassroots) arises over control of Leadership,Policy and Resources....and those disputes,often driven by Idelogical differences or Resources Scarcity...".

Katika Nadharia hii(Theory),upo ukweli kwamba kwa sasa kuna vita vya chini chini vya kugombea Madaraka na Rasilimali kati ya Makamu Mwenyekiti Taifa Ndugu Heche dhidi ya Mwenyekiti wake,Ndugu Tundu Lissu.

Usingetegemea wakati Mwenyekiti wa Chama Taifa,Tundu Lissu yupo Gerezani,John Heche angekuwa ANAVIKWA UCHIEF(Uongozi) pale kwenye Mkutano wa Mkoani Ruvuma mwezi jana.

Usingetegemea wakati Mwenyekiti wa Chama yupo Magereza,Makamu wake Ndugu John Heche angekuwa anavuta MPUNGA Tsh MILIONI 60 kutoka kwa wadau wa Chama na kimya kimya na kusema ni za kwake na sio za fedha za Chama mbele ya Godbless Lema.

Usingetegemea wakili wa Mh Lissu aende Gerezani aongee na Lissu na atoke hadharani na kusema Mh Lissu yupo tayari kwa maridhiano,Makamu wake(Heche) atoke hadharani na KUKANUSHA kauli za wakili wa Mh Tundu Antipass Lissu.

HITIMISHO.

Ni wazi kuwa Mh John Heche ANANUFAIKA na uwepo wa Ndugu Tundu Lissu Gerezani,shutuma anazoelekezewa kwa sasa na wafuasi na viongozi wa CHAMA wilayani(Lushoto na Same),ni ushahidi tosha kuwa Makamu Mwenyekiti John Heche anatumia UWEPO wa Ndugu Tundu Gerezani kama mtaji wake binafsi KISIASA na KIFEDHA.

Wakati wa Wazanzibari leo wameweka historia njema kwa Taifa lao kwa kuingia kwenye maridhiano bila kuweka masharti yoyote mbele ya Serikali ,John Heche HATAKI maridhiano na anataka kuendelea na VURUGU kwa maslahi yake binafsi.

Masterminder wao Mange Kimambi amesikika jana kupitia kurasa za Facebook akisema kuwa baadhi ya Wanachadema tayari wanataka MARIDHIANO lakini John Heche pekee yake ndio hataki MARIDHIANO kwa hiyo Mange akasema wanaharakati lazima wasimame na John Heche kwa nguvu zote.

Hii ina maana kuwa WANAHARAKATI wa Nje ya Nchi tayari wamemgeuka Mwenyekiti Lissu kwa kauli ya Wakili wake(Masabo)ya kutaka MARIDHIANO.

DHAMBI ya Oct 29,2025 tayari imeanza KUWATAFUNA.
 
Kwani CHADEMA bado haijafa?
 
Apo kichwa kimoja tu kinawanyima usingiz je na mwamba LISU mngemuacha awe kitaa si mngefia ndotoni
 
Mwwnye namba/account ya heche/tonetone aweke tuchange tena
 
Heche mmoja tu anahenyesha MBOGAMBOGA na Machawa wote. Utawala wa sasa ni Kitapeli, Ulaghai, Uongo, Umwagaji wa damu.

Na wewe mleta uzi ni moja ya takataka zilizotajwa na Henry Kilewo hapa

IMG-20260709-WA0036.jpg
 
Kaa kushoto

Hakika wewe ni mwendawazimu hayawani usiyejitambua!

Eti CHADEMA inadhulumu pesa za watu kupitia tone tone!! Kichaa mkubwa wewe. Hivi kuna mtu aliwahi kulazimishwa kuchangia tone tone?
Mnahangaika kuichafua CHADEMA na viongozi wake, kwa kupitia njia za kijinga kabisa ambaxo haziwezi kubadili imani ya wananchi kwa CHADEMA na viongozi wake. Wananchi siyo wajinga kiasi cha kuzingatia takataka hizi mnazoziweka. Wananchi wanajua nani anayewateka, anayewaua na kuwapoteza wananchi wanaokosoa watawala. Uovu ambao CHADEMA na viongozi wake hawahusiki kwa namna yoyote ile.
 
Nianze na nukuu hii ambayo ni mtazamo/msimamo wangu mimi mwenyewe kama mwandishi wa andiko hili👇🏽

"There is no a loyal Politician in a presence of Iternal Party Political Vacuum...".Swali hapa ni Je, "is Chadema Caught in Political Dillema?...".

Siku moja pale Mahakamani Kisutu,Mh Mwenyekiti wa Taifa kivuli wa Chadema,Tundu Antipass Lissu alisikika akimwagiza Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa,John Heche kupitia Katibu Mkuu John Mnyika kumpelekea VITABU vya HESABU za Chama,Gerezani UKONGA.

BAADAE kukaibuka sakata la kuliwa kwa baadhi ya fedha ambazo Mh Tundu Lissu alichangiwa na Wanachama,mpaka familia ya ya Mh Tundu Antipass Lissu ikaingilia kati.LIKAZIMWA LIKAPITA.

WIKI juzi Katibu Mkuu wa Chadema Ndugu John Mnyika akatoka hadharani na kusema Chama chao kimepoteza zaidi ya Tsh milioni 900+ kwa sababu ya kufungiwa shughuli zake za kisiasa na fedha hizo za wafadhiri zimerudishwa.Badae tena KM Mnyika alisikika akiomba ruzuku "yao" ya Tsh Milioni 500 kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa.

NINI NATAKA KUSEMA?

Ni wazi kuwa Chadema kwa sasa hawana fedha za kuendesha hata Ofisi Ofisi na wamebaki kutegemea "KUPORA" fedha kutoka kwa Watanzania kupitia TONE TONE.

Katika mazingira haya☝🏽☝🏽,ni rahisi sana kuelewa ukweli wa shutuma ambazo wanachama wa Chadema mikoani na wilayani kwa sasa kwanini wanamshutumu Makamu Mwenyekiti ndugu John Heche kwa KUIBA fedha za Chama.

Taarifa za hivi karibuni kutoka ndani ya Chama zinasema kuwa ndugu John Heche huyu huyu alichukua Tsh Milioni 60 kutoka kwa mdau mmoja na "KUZISUNDA" kama fedha zake binafsi na alipoulizwa na yule Mbunge wa zamani wa Arusha,Ndugu John Heche alijibu kuwa hakujua kwamba fedha hizo(M60) zilikuwa za Chama.🤣🤣

Katika mazingira haya ni wazi kuwa Shutuma dhidi yake(John Heche) ni JUSTIFIABLE.

UTHIBITISHO WA KINADHARIA(THEORY)KUHUSU SHUTUMA DHIDI YA JOHN HECHE.

Katika mjadala huu wa kuthibitisha shutuma dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema,nitatumia nadharia ya "Party Power Struggle Theory".,inasema na hapa nanukuu kwa kingereza👇🏽👇🏽

"It is Internal Competition between Elite fanctions and Organizational levels(Central vs Grassroots) arises over control of Leadership,Policy and Resources....and those disputes,often driven by Idelogical differences or Resources Scarcity...".

Katika Nadharia hii(Theory),upo ukweli kwamba kwa sasa kuna vita vya chini chini vya kugombea Madaraka na Rasilimali kati ya Makamu Mwenyekiti Taifa Ndugu Heche dhidi ya Mwenyekiti wake,Ndugu Tundu Lissu.

Usingetegemea wakati Mwenyekiti wa Chama Taifa,Tundu Lissu yupo Gerezani,John Heche angekuwa ANAVIKWA UCHIEF(Uongozi) pale kwenye Mkutano wa Mkoani Ruvuma mwezi jana.

Usingetegemea wakati Mwenyekiti wa Chama yupo Magereza,Makamu wake Ndugu John Heche angekuwa anavuta MPUNGA Tsh MILIONI 60 kutoka kwa wadau wa Chama na kimya kimya na kusema ni za kwake na sio za fedha za Chama mbele ya Godbless Lema.

Usingetegemea wakili wa Mh Lissu aende Gerezani aongee na Lissu na atoke hadharani na kusema Mh Lissu yupo tayari kwa maridhiano,Makamu wake(Heche) atoke hadharani na KUKANUSHA kauli za wakili wa Mh Tundu Antipass Lissu.

HITIMISHO.

Ni wazi kuwa Mh John Heche ANANUFAIKA na uwepo wa Ndugu Tundu Lissu Gerezani,shutuma anazoelekezewa kwa sasa na wafuasi na viongozi wa CHAMA wilayani(Lushoto na Same),ni ushahidi tosha kuwa Makamu Mwenyekiti John Heche anatumia UWEPO wa Ndugu Tundu Gerezani kama mtaji wake binafsi KISIASA na KIFEDHA.

Wakati wa Wazanzibari leo wameweka historia njema kwa Taifa lao kwa kuingia kwenye maridhiano bila kuweka masharti yoyote mbele ya Serikali ,John Heche HATAKI maridhiano na anataka kuendelea na VURUGU kwa maslahi yake binafsi.

Masterminder wao Mange Kimambi amesikika jana kupitia kurasa za Facebook akisema kuwa baadhi ya Wanachadema tayari wanataka MARIDHIANO lakini John Heche pekee yake ndio hataki MARIDHIANO kwa hiyo Mange akasema wanaharakati lazima wasimame na John Heche kwa nguvu zote.

Hii ina maana kuwa WANAHARAKATI wa Nje ya Nchi tayari wamemgeuka Mwenyekiti Lissu kwa kauli ya Wakili wake(Masabo)ya kutaka MARIDHIANO.

DHAMBI ya Oct 29,2025 tayari imeanza KUWATAFUNA.
Kwani aliefanya dhambi October ni nani? Dogo hata mkapa alipoua watu walikuwepo watu kama ninyi muliokimpongeza ila baadae alipobaki mwenyewe alijutia sana
 
Hapo ndio mnapofeli
Hivi unajua kuna mikutano kila siku ya Israel na Palestine, unajua kila wakiaanza majadiliano, Palestine analeta malamiko yote mezani halafu anaambiwa, hayahusiani , kuwa hapa umekuja kwenye maridhiano, sahau kila kitu tuanze upya.
Palestine anasema sisahau kitu na fk off all, na vita vinaanza tena, ukipita muda tena wanarudi kwenye maridhiano na style ni ile ile sisahau kitu
Sasa mnapotaka kwenda kujadili maridhiano, huwa hawapeleki malalamiko
Kweli we Makebo haswaaa. Uliiona kilichofanyaika maridhaino ya South Africa na Rwanda ? Hicho ndio kinatakiwa hata Tz na sio pungufu ya hiyo. Lazima waovu watambuliwe ndio mengine yaendelee.
 
IMG-20260902-WA0004.jpg

Golf Mike Uniform.
August 2,2026.

Katibu wa Chadema Mkoa wa Mara Ndugu Donald Mwembe juzi aliitisha kikao cha Waandishi wa habari akisema kwa mahali walipofikia,Chama chao kwa haraka kinahitaji kukaa meza ya Maridhiano na Serikali ili kiweze kuondoka kwenye Mkwamo wa kisiasa ambao upo kwa sasa.

Na huo ndio umekuwa msimamo wa wananchama na wafuasi wengi ndani ya Chadema kwa sasa kwamba Chama hicho kinapaswa kwenda mezani kuzungumza na Serikali ili waweze kuondoka katika mkwamo huo wa muda mrefu.

Msimamo.huo wa Wanachama wengi wa Chadema unakwenda kinyume na MSIMAMO.wa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Ndugu John Heche pamoja na ndugu zake ambao wengine ni Viongozi wa Mikoa na Wilaya wa Chama hicho.

Sept 1,2026,Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara ambaye pia ni mdogo(Ukoo) wa Ndugu John Heche kwa jina la Chache Heche aliwaita wanachama mbele ya waandishi wa habari na kutangaza/kumtisha Katibu wake wa Chama Mkoa wa Mara Ndugu Donald Mwambe kwamba yeye sio msemaji wa Chama hicho na hapaswi kuongelea mambo ya Chama mbele ya waandishi wa habari.

IPO HIVI.

Hata kufutwa/kusogezwa mbele gafla kwa Mkutano wa Baraza Kuu la Chama hicho ambacho kilipangwa kufanyika mwezi huu(9) ni uwepo wa HOFU ya Makamu Mwenyekiti John Heche kwamba wajumbe wa Baraza Kuu walikuwa wanaenda kuazimia KUYATAKA MARIDHIANO NA SERIKALI haraka iwezekanavyo.

Na hicho ndio kitu ambacho John Heche na "UKOO" wake hawataki kukisikia kamwe.Hasira hiyo ya "UKOO" wa John Heche dhidi ya Serikali inatajwa kuchochewa na kile kinachoitwa kifo cha ndugu yao mikononi mwa Polisi miaka ya nyuma.

John Heche mara kwa mara amekuwa akijitetea kuwa msimamo wa kukataa maridhiano sio msimamo wake bali ni msimamo wa Chama lakini wakati huo huo amekuwa AKIZIMA SAUTI za KUTAKA MARIDHIANO za Viongozi wenzake ndani ya Chama pamoja na Wanachama.

Hesabu za Makamu John Heche za kusogeza mbele Mkutano wa Baraza Kuu Chadema ni kutaka kutengeneza USHAWISHI wakati wa Mkutano wa Baraza Kuu pindi ukiitishwa kwamba tunakwendaje kwwnye maridhiano wakati Mwenyekiti wetu tayari kashahukumiwa?

John Heche anajaribu "kubuy time" mpaka kesi ya Ndugu Lissu iiishe ambayo anajua kabisa kuwa Tundu atakutwa na hatia na baadae kuhukumiwa na hivyo kwanza (I) wakati wa Mkutano wa Baraza Kuu utakapoitishwa atataka kushawishi wajumbe kuwa kwa sasa Chama hakina Mwenyekiti hivyo yeye anapaswa kubeba mikoba ya nafasi hiyo.

Pili(II)John Heche na Ukoo wake wanataka kufanya Mapinduzi ya Kimkakati dhidi ya Mwenyekiti Lissu KISAYANSI.

Ni wazi John Heche na UKOO wake wanajua kuwa kama Baraza Kuu lingefanyika kabla ya KESI ya Lissu kuisha upo uwezekano wa wajumbe wa Baraza Kuu la Chadema kukubaliana kuhusu maridhiano hivyo ndugu Tundu Lissu angeweza KUACHIWA huru kama sehemu ya Maridhiano hayo.

Kuachiwa kwa Tundu Lissu kwa John Heche na ndugu zake litakuwa pigo kubwa katika safari yao ya kusaka Madaraka Makuu ya Chama hicho.

Pamoja na hayo,pia John Heche amekuwa na shutuma nyingine za matumizi mabaya ya fedha za Chama suala ambalo lilipigiwa sana kelele na viongozi wa Chadema Mikoa na Wilaya mpaka kupelekea kusimamishwa kwa baadhi ya Viongozi waliibua shutuma hizo akiwemo Katibu wa Chadema Mkoa wa Morogoro.

John Heche amekaririwa juzi akilalamika kwamba kuna mgogoro unatengenezwa ndani ya Chadema lakini kimsingi ni kwamba ana hofu kubwa juu ya shutuma hizo kama sinaweza kumuacha salama mbele ya Mkutano huo wa Baraza Kuu.

Hofu nyingine ya John Heche kwa sasa ni endapo Uchaguzi Mkuu Utaitishwa tena wa Chama kutokana na mwenyekiti kutumikia kifungo,basi ni wazi kuwa
Mzee Freeman Mbowe anaweza kurudi kukalia nafasi hiyo ya Mwenyekiti wa Chama.

Juzi Makamu Mwenyekiti John Heche alikaririwa na Chombo cha habari kimoja akisema BILA REFORMS HATA 2030 hawatashiriki Uchaguzi tena.

Kauli hiyo imeendelea KUCHOCHEA tena na tena mgogoro wa chini chini kwa Viongozi wa Mikoa na Wilaya pamoja na wanachama kwamba kama Chama hakitaki kushiriki chaguzi basi kuna sababu gani za kuwepo kwenye siasa?

NATABILI👇🏽👇🏽

Kama John Heche ataendelea kusimamia MSIMAMO huu ☝🏽☝🏽 ni wazi kuwa kabla ya mwezi March,2027 atakuwa AMEPINDULIWA na WANACHAMA.

Msiseme sikusema,nipo pale👉🏿👉🏿👉🏿
 
Back
Top Bottom