Heche: CHADEMA haitafanya maridhiano na CCM bila mpatanishi wa kimataifa

View attachment 3661539
Golf Mike Uniform.
August 2,2026.

Katibu wa Chadema Mkoa wa Mara Ndugu Donald Mwembe juzi aliitisha kikao cha Waandishi wa habari akisema kwa mahali walipofikia,Chama chao kwa haraka kinahitaji kukaa meza ya Maridhiano na Serikali ili kiweze kuondoka kwenye Mkwamo wa kisiasa ambao upo kwa sasa.

Na huo ndio umekuwa msimamo wa wananchama na wafuasi wengi ndani ya Chadema kwa sasa kwamba Chama hicho kinapaswa kwenda mezani kuzungumza na Serikali ili waweze kuondoka katika mkwamo huo wa muda mrefu.

Msimamo.huo wa Wanachama wengi wa Chadema unakwenda kinyume na MSIMAMO.wa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Ndugu John Heche pamoja na ndugu zake ambao wengine ni Viongozi wa Mikoa na Wilaya wa Chama hicho.

Sept 1,2026,Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara ambaye pia ni mdogo(Ukoo) wa Ndugu John Heche kwa jina la Chache Heche aliwaita wanachama mbele ya waandishi wa habari na kutangaza/kumtisha Katibu wake wa Chama Mkoa wa Mara Ndugu Donald Mwambe kwamba yeye sio msemaji wa Chama hicho na hapaswi kuongelea mambo ya Chama mbele ya waandishi wa habari.

IPO HIVI.

Hata kufutwa/kusogezwa mbele gafla kwa Mkutano wa Baraza Kuu la Chama hicho ambacho kilipangwa kufanyika mwezi huu(9) ni uwepo wa HOFU ya Makamu Mwenyekiti John Heche kwamba wajumbe wa Baraza Kuu walikuwa wanaenda kuazimia KUYATAKA MARIDHIANO NA SERIKALI haraka iwezekanavyo.

Na hicho ndio kitu ambacho John Heche na "UKOO" wake hawataki kukisikia kamwe.Hasira hiyo ya "UKOO" wa John Heche dhidi ya Serikali inatajwa kuchochewa na kile kinachoitwa kifo cha ndugu yao mikononi mwa Polisi miaka ya nyuma.

John Heche mara kwa mara amekuwa akijitetea kuwa msimamo wa kukataa maridhiano sio msimamo wake bali ni msimamo wa Chama lakini wakati huo huo amekuwa AKIZIMA SAUTI za KUTAKA MARIDHIANO za Viongozi wenzake ndani ya Chama pamoja na Wanachama.

Hesabu za Makamu John Heche za kusogeza mbele Mkutano wa Baraza Kuu Chadema ni kutaka kutengeneza USHAWISHI wakati wa Mkutano wa Baraza Kuu pindi ukiitishwa kwamba tunakwendaje kwwnye maridhiano wakati Mwenyekiti wetu tayari kashahukumiwa?

John Heche anajaribu "kubuy time" mpaka kesi ya Ndugu Lissu iiishe ambayo anajua kabisa kuwa Tundu atakutwa na hatia na baadae kuhukumiwa na hivyo kwanza (I) wakati wa Mkutano wa Baraza Kuu utakapoitishwa atataka kushawishi wajumbe kuwa kwa sasa Chama hakina Mwenyekiti hivyo yeye anapaswa kubeba mikoba ya nafasi hiyo.

Pili(II)John Heche na Ukoo wake wanataka kufanya Mapinduzi ya Kimkakati dhidi ya Mwenyekiti Lissu KISAYANSI.

Ni wazi John Heche na UKOO wake wanajua kuwa kama Baraza Kuu lingefanyika kabla ya KESI ya Lissu kuisha upo uwezekano wa wajumbe wa Baraza Kuu la Chadema kukubaliana kuhusu maridhiano hivyo ndugu Tundu Lissu angeweza KUACHIWA huru kama sehemu ya Maridhiano hayo.

Kuachiwa kwa Tundu Lissu kwa John Heche na ndugu zake litakuwa pigo kubwa katika safari yao ya kusaka Madaraka Makuu ya Chama hicho.

Pamoja na hayo,pia John Heche amekuwa na shutuma nyingine za matumizi mabaya ya fedha za Chama suala ambalo lilipigiwa sana kelele na viongozi wa Chadema Mikoa na Wilaya mpaka kupelekea kusimamishwa kwa baadhi ya Viongozi waliibua shutuma hizo akiwemo Katibu wa Chadema Mkoa wa Morogoro.

John Heche amekaririwa juzi akilalamika kwamba kuna mgogoro unatengenezwa ndani ya Chadema lakini kimsingi ni kwamba ana hofu kubwa juu ya shutuma hizo kama sinaweza kumuacha salama mbele ya Mkutano huo wa Baraza Kuu.

Hofu nyingine ya John Heche kwa sasa ni endapo Uchaguzi Mkuu Utaitishwa tena wa Chama kutokana na mwenyekiti kutumikia kifungo,basi ni wazi kuwa
Mzee Freeman Mbowe anaweza kurudi kukalia nafasi hiyo ya Mwenyekiti wa Chama.

Juzi Makamu Mwenyekiti John Heche alikaririwa na Chombo cha habari kimoja akisema BILA REFORMS HATA 2030 hawatashiriki Uchaguzi tena.

Kauli hiyo imeendelea KUCHOCHEA tena na tena mgogoro wa chini chini kwa Viongozi wa Mikoa na Wilaya pamoja na wanachama kwamba kama Chama hakitaki kushiriki chaguzi basi kuna sababu gani za kuwepo kwenye siasa?

NATABILI👇🏽👇🏽

Kama John Heche ataendelea kusimamia MSIMAMO huu ☝🏽☝🏽 ni wazi kuwa kabla ya mwezi March,2027 atakuwa AMEPINDULIWA na WANACHAMA.

Msiseme sikusema,nipo pale👉🏿👉🏿👉🏿
Muueni kama mlivyomuua Polepole
 
Punguza ujinga nani huyo anataka maridhiano na wauaji? Kaanzeni maridhiano na Nchimbi kwanza
 
..sasa Ccm mmekuwa walafi.

..kumnyonga Tundu Lissu mnataka.

..maridhiano nayo mnayataka.

..suluhisho ni kumuachis Lissu ili maridhiano yaanze.
 
Back
Top Bottom