Heche: CHADEMA haitafanya maridhiano na CCM bila mpatanishi wa kimataifa

CCM wakishamaliza kufanya Maridhiano na Chadema. Wawaombe Chadema wawe Mediator kwenye Maridhiano mengine baina yao CCM na sisi Wananchi..
 
Hapo ndio mnapofeli
Hivi unajua kuna mikutano kila siku ya Israel na Palestine, unajua kila wakiaanza majadiliano, Palestine analeta malamiko yote mezani halafu anaambiwa, hayahusiani , kuwa hapa umekuja kwenye maridhiano, sahau kila kitu tuanze upya.
Palestine anasema sisahau kitu na fk off all, na vita vinaanza tena, ukipita muda tena wanarudi kwenye maridhiano na style ni ile ile sisahau kitu
Sasa mnapotaka kwenda kujadili maridhiano, huwa hawapeleki malalamiko
 

..ulitakiwa utumie mifano ambapo maridhiano yamefanikiwa.

..hali hii ya mivutano na uhasama haipaswi kuendelea.

..utekaji na udhalimu unapaswa kukomeshwa.
 
Wapeni uwanja fair wananchi tuamue.
Nimesoma mara mbili nijue ulichoandika (mara nyingi sihitaji kufanya hivyo).

Katika maandishi yako hayo, maneno ya maana ni haya pekee niliyonyanyua hapa.

Hayo mengine unajichanganya tu mwenyewe.
 
Siamini kauli kama hii ya maridhiano inatolewa na heche!!!...tena kipindi kama hichi...

Kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai!....

Pesa mwanaharamu!
CHADEMA GUDUBAI!!!!
Umekimbia haraka mno kama unaharisha.
Binafsi pia nina shaka na hayo yaliyosemwa na Heche; lakini siyo kwa hizo sababu za "mkate".
 
Heche usipotoke, hakuna maridhiano yoyotw na majambazi.

CCM waeleze miili ya watu waliouwawa October 29 ipo wapi kwanza , watu wakishazika tufahamu aliyeua awajibike halafu uchaguzi urudiwe ndio itakua maridhiano.
That's the bottomline.

Heche, pengine kwa msukumo toka nje ya chama anawatupia kamba ya kuwaokoa waovu.

Utaanzia wapi kuridhiana na mtu asiyekiri makosa yake na anaendelea kutenda makosa yaleyale!

Heche ni lazima apewe tahadhari. Huyo mpatanishi 'neutral' atapatikana wapi?

Swala la maridhiano ni mchakato baina ya waTanzania wenyewe ambao hawakuhusika na uovu.
Upatanishwe vipi wakati Samia mwenyewe na Genge lake wakisimamia mchakato mzima; inawezekana hiyo?
 
Hakuna maridhiano na watu ambao mikono na nguo zao zimejaa damu za watanganyika.
 
Cdm wawe na misamamo sio kugeuka geuka,watu wamepotea na wanapotea
 
Hata ccm hawataki maridhiano na chadema. Wanaridhiana nini?
 
hicho anachokizungumza CCM hawawezi kabisa kukubali
 
Anaitaja Kenya kwa kuwa ni kwao, hata hivyo sijamsikia kiongozi wa CCM anayezungumzia maridhiano na chadema. CCM sidhani km ina cha kuridhiana na chadema
 
Chadema inapendaga kujipa umuhimu ambao haina, Samia hata haiwazi chadema anachapa zake kazi. Maridhiano yaliyozungumziwa ni ya jamii yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…