Heche: CHADEMA haitafanya maridhiano na CCM bila mpatanishi wa kimataifa

Jizi na lipenda rushwa linatamani sana CHADEMA iwe kama CCM. Kamwe CHADEMA haitaweza kuwa chama cha wizi na upigaji. Pumbavu wewe
 
Agenda za wanaotaka kuridhiana ni zipi?Na,walikorofishana na nani kuhusu nini?
 
Unafatiliaga Kesi ya Lissu kwa kutumia Mikundu wako au??.

Maana kama unafatilia kwa kutumia Akili yako , Usingepoteza muda kuumizwa vidole kwa kuandika Uharo
 
Agenda za wanaotaka kuridhiana ni zipi?Na,walikorofishana na nani kuhusu nini?
maCCM hayana nia njema. Ni kitu gani kinashindikana kuleta international mediator?. CHADEMA msikubali kutapeliwa, mijitu ikishakuwa milarushwa na mijizi, inachowaza nikufanya ulaghai ili iweze kuendelea kupiga rushwa tu.
KUMBUKENI SANA MANENO YA POLEPOLE, ALISEMA KAMWE MSIKUBALI MARIDHIANO BAADA YA UCHAGUZI HUO FAKE. MKIKUBALI TU MTAKUWA MMEPIGWA PAKUBWA SANA
 
🚮
Uzushi, uongo, uzandiki, fitna, utapeli..

chawa wa mama bado hamjasema !!
 
Kazi ambayo ingekufaa, ni yoyote ambayo mwemdwazimu mnafiki anaweza kuifanya! Kama vile kuwa mganga wa kienyeji tapeli mpiga ramli.

Umeandika ujinga mwingi wa kutengeneza ambao hauwezi ku.hadaa yeyote, hata mwenye akili ya kawaida.

Wauaji wenzako wamehangaika sana kumrubuni sana shujaa mzalendo wa pekee Tundu Lisu juu ya maridhiano bandia, wameishia patupu.

CHADEMA ilishatoa tamko la wazi juu ya nini kifanyike kuwezesha yanayoitwa maridhiano: wahusika wa mauaji wawajibishwe, maridhiano yasimamiwe na taasisi huru kama vile za kikanda, Afrika au za kimataifa ( siyo wauaji). Huo ni msimamo wa chama, siyo msimamo wa Heche.

Ninyi mliokosa akili kutokana na laana ya damu za watu, mtahangaika sana na propaganda za kijinga kama hizi, ambazo haziwezi kubadili chochote kwa sababu CHADEMA imejaa wenye akili, siyo kama yale machawa yaliyojazana CCM.
 
 
CHADEMA yote ni "nani na nani"
 
Mbona mnalazimisha? nyinyi si mlishinda kwa 38% milioni sasa wao kutotaka maridhiano inawauma.
 
Naona unadhani umecheza bonge la mind game. Naona jamuhuri imeshikwa pabaya huko mahakamani , wamekuja na Episode ya Ishengima. Na nyie ccm maslahi mmekuja na porojo za mwenyekiti sijui wa cdm Mara😂 Heche kamatia hapo hapo, hakuna maridhiano na matapeli.
 
maridhiano kafanyeni na mamayenu aliyeshinda kwa asilimia 98 nguruwe nyinyi. kuhusu kupinduliwa kwa heche chadema sio genge la wahuni kama mlivyompindua makamo wenu kwa uchoko wenu, pumbavu kabisa.
 
Kama ni hivyo, nguvu za Katuga mahakamani zanini?
 
Acha upuuzi na wewe serikali ya Samia haijawahi kusema popote km inataka maridhiano na hao wahalifu
 
Tuliwaambia mapema no reforms no elections mkakaza mafuvu
 
Fanyeni maridhiano na wanaohitaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…