Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sioni kama kususia uchaguzi ni suluhisho, mtakuwa mmewapa ugali wale jamaa ki ulainiiiii!View attachment 2872365
''Msimamo wetu bado ni huo, kutokana na mazingira tuliyopitia mwaka 2019 na mwaka 2020 yalitudhihirishia wazi kwamba hatutashiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu (2024) kutokana na yale yaliyotokea yanatupa hofu kwenda kushiriki Uchaguzi tena, lakini kama kuna mambo yatabadilika na Miswada ikiwemo vipengele vya Katiba vinavyokwaza uchaguzi kuwa huru sisi tutakuwa tayari kushiriki uchaguzi" -Heche
John Heche ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA amezungumza hayo wakati akifanya mahojiano maalumu na EATV kupitia Kipindi cha Ahadi Timilifu leo, Jumatatu Januari 15.2024
Acheni, na nchi itasonga vizuri tu, miaka mitano bila ruzuku mtakimbianaView attachment 2872365
''Msimamo wetu bado ni huo, kutokana na mazingira tuliyopitia mwaka 2019 na mwaka 2020 yalitudhihirishia wazi kwamba hatutashiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu (2024) kutokana na yale yaliyotokea yanatupa hofu kwenda kushiriki Uchaguzi tena, lakini kama kuna mambo yatabadilika na Miswada ikiwemo vipengele vya Katiba vinavyokwaza uchaguzi kuwa huru sisi tutakuwa tayari kushiriki uchaguzi" -Heche
John Heche ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA amezungumza hayo wakati akifanya mahojiano maalumu na EATV kupitia Kipindi cha Ahadi Timilifu leo, Jumatatu Januari 15.2024
Kumbe Kuna kupeana majimbo,vp anaepewa ikatokea wenye Jimbo(wananchi)hawamkubali,je hapo itakuwaje ?je itakua Jimbo limepata mbunge au mbunge amepata jimbo.kumbuka ubunge ni nafasi yauongozi wa kuwakilisha watu kwenye vikao na shughuli za bunge.mwisho mwajiri wa mbunge ni mwananchi kwenye sanduku la kura.Hawana huo uwezo hata siku moja,
Wajaribu waone watavyofutika, ACT atapewa majimbo kibao na ndo itakuwa kifo cha CHADEMA
Unadhani cdm Iko kwa ajili ya wabunge wa kupewa? Tunaikubali cdm bila hata kushiriki hizi chaguzi za kihayawani. Msiwape ACT peke yake, vipeni hata na vyama vingine ambayo ni matawi ya ccm. Lakini hakuna mwanacdm anayejitambua atashiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi. Na idadi ya watajitokeza kupiga kura ndio mtajua cdm ina nguvu kiasi gani.Hawana huo uwezo hata siku moja,
Wajaribu waone watavyofutika, ACT atapewa majimbo kibao na ndo itakuwa kifo cha CHADEMA
Ndio chama pekee Bora.kwani Chadema ndio chama pekee cha siasa Tanzania?
Hatuhitaji cdm iwepo kwa siasa za kujipendekeza. Ni Bora cdm ife maana cdm ni imani, kuliko kushiriki chaguzi za kipuuzi kisa ruzuku.Acheni, na nchi itasonga vizuri tu, miaka mitano bila ruzuku mtakimbiana
Sababu za cdm kutokushiriki chaguzi za kihayani zipo wazi, na zinaeleweka. Na kama mnatarajia cdm watashiriki ili kuonekana hawajakimbia, mtasubiri sana. Hakuna kushiriki uchaguzi ambayo tume ya uchaguzi inawajibika kwa mwenyekiti wa ccm. Dhalimu Magufuli ndio alikuja kuweka hitimisho la kuendelea kushiriki chaguzi za kishenzi chini ya tume na katiba ya kiccm.hi sasa ishakuwa kawaida yenu kila zikaribiapo chaguzi mmekuwa mnatafuta sababu ya kukimbia chaguzi ili kuficha anguko lenu
Kabisa, na hata cdm kama chama wakisema wanashiriki hizo chaguzi za kihayawani kwa mazingira haya haya, sisi wapiga kura tunaojitambua hatutashiriki huo upuuzi. Cdm kama chama wajue ina wapiga kura wa kutosha, na kitendo Cha kususia chaguzi hizo za kipuuzi kutapelekea mabadiliko ya kweli ya chaguzi zetu.Mimi nime muelewa kwani tangu mwanzo huo ndio msimamo wangu hata kama asingesema
John Heche ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA amezungumza hayo wakati akifanya mahojiano maalumu na EATV kupitia Kipindi cha Ahadi Timilifu leo, Jumatatu Januari 15.2024[emoji419][emoji375]View attachment 2872365
''Msimamo wetu bado ni huo, kutokana na mazingira tuliyopitia mwaka 2019 na mwaka 2020 yalitudhihirishia wazi kwamba hatutashiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu (2024) kutokana na yale yaliyotokea yanatupa hofu kwenda kushiriki Uchaguzi tena, lakini kama kuna mambo yatabadilika na Miswada ikiwemo vipengele vya Katiba vinavyokwaza uchaguzi kuwa huru sisi tutakuwa tayari kushiriki uchaguzi" -Heche
John Heche ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA amezungumza hayo wakati akifanya mahojiano maalumu na EATV kupitia Kipindi cha Ahadi Timilifu leo, Jumatatu Januari 15.2024
Ndio msimamo wa chamaAmeeleweka, ila sijui kama na wengine watakuwa wamemuelewa chamani kwao..
Ni msimamo wako ww kama nani nchi hii.?Mimi nime muelewa kwani tangu mwanzo huo ndio msimamo wangu hata kama asingesema
Subirini kuna mkorogo unaandaliwa, mtakimbianaHatuhitaji cdm iwepo kwa siasa za kujipendekeza. Ni Bora cdm ife maana cdm ni imani, kuliko kushiriki chaguzi za kipuuzi kisa ruzuku.
Kwani hata wakishiriki CCM ndio itatoka Madarakani?Alafu chadema wasiposhiriki CCM ndiyo inatoka madarakani?
Jaribuni muone,Sio rahisi kama unavyofikiria, nchi sio ya mtu mmoja au kikundi cha watu fulani wenye maamuzi tu yote kama wanavyojitahidi kuwaaminisha kuna sheria za ndani na za nje zinzozimulika za ndani kama tochi. Consequencies zake zina impact wengi na sio wachache.
Hayo ni maneno ya darasani, ila ukitaka kujua ubunge unapewa kumbuka 2020,Kumbe Kuna kupeana majimbo,vp anaepewa ikatokea wenye Jimbo(wananchi)hawamkubali,je hapo itakuwaje ?je itakua Jimbo limepata mbunge au mbunge amepata jimbo.kumbuka ubunge ni nafasi yauongozi wa kuwakilisha watu kwenye vikao na shughuli za bunge.mwisho mwajiri wa mbunge ni mwananchi kwenye sanduku la kura.