Pre GE2025 Heche: CHADEMA haitashiriki Uchaguzi wowote kama Mazingira ya Siasa yatabaki kama yalivyo sasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wazo la Heche zuri sana, mimi nashauri msajili wa vyama awaaandikie haraka sana, kuwauliza rasmi kama wanasusia uchaguzi, wakijibu "ndiyo" wanasusia, basi simpo, chama kinachosusia uchaguzi kifutiwe usajili, ili wanachama wa chama hicho waende kwenye vyama vinavyoingia kwenye mchakato wa uchaguzi.

Pengine ukute zinazoongea hapo ni bia siyo chadema.
 
Hivi kushiriki ni lazima?nataka kujua
 
Susa, susa, susa! Ukisusa wenzio wanakula! Utakaambia nini ka ACT,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…