Heche: CHADEMA hatuitambui Tume na matokeo yake yatakuwa feki

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,922
Reaction score
3,252

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche ametoa msimamo wa chama hicho hakitambui tume iliyounfwa na Rais Samia Suluhu Hassan ya kuchunguza ghasia za uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na hata matokeo yake yatakapptolewa hawatayatambua.

Soma zaidi: Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu kutoka Uganda na Namibia kupata muono mpana

Akihutubia mkutano wa hadhara katika wilaya ya Rorya mkoani Mara Agosti 07, 2026, Heche amesema, kuundwa kwa tume hiyo ni mbinu ya kutaka kutengeneza picha isiyo halisi mbele ya jumuiya ya kimataifa.

Heche pia amekosoa vikali uamuzi wa kumjumuisha jaji kutoka Namibia, na Jaji kutoka nchini Uganda akidai kuwa nchi hiyo ina rekodi mbovu ya haki za binadamu na uhuru wa mahakama, huku akisema baadhi ya vyama nchini Namibia vimepinga jaji wao kutumika katika tume hiyo.
 
Hii game inachezwa Metaphysically.Wachache sana tunaweza elewa kinachoendelea Hapa.Kwa watu wa Clinical Medicine wanafamu kinachotokea kwenye Chumba cha Dharura Hospitalini ambapo Muhudumu wa Afya hufanya kwanza Stabilization kwa mbinu za ABCDE ambapo lengo ni kuangali iwapo Vitals za Mgonjwa kuhakikisha kwamba Hakuna tishio la Uhai kabla ya kuendelea na matibabu ya Msingi.

Kwa sasa mchezo unaenda hatua kwa hatua.Kwa sasa tuliko A ilishakamilika,B Ndio inaendelea.Ikifika C au D labda ndio Heche ataelewa Mchezo.
 
Maelezo mengi ila pumba tupu. Tunataka tume huru ya kijaji ya Uchunguzi, sio tume ya rais ya uchunguzi kwa sababu Rais anatuhumiwa. Kipi huelewi?
 
Hiyo tume ni danganya toto tu ya kutafuta international sympathy, huyo bibi anajua kabisa walichokifanya kwenye uchaguzi uliopita hakibadiliki kwa ripoti za makaratasi.
 
Maelezo mengi ila pumba tupu. Tunataka tume huru ya kijaji ya Uchunguzi, sio tume ya rais ya uchunguzi kwa sababu Rais anatuhumiwa. Kipi huelewi?
Wewe unaelewa kweli?Mimi sijasema ninachotaka wala nisichotaka.Nimesema ninachoona.

Unaposema Rais Anatuhumiwa unaelewa hasa unachotaka kusema?Anatumiwa kama RAIS-CHEO au Rais Individual?Unaposema TUME HURU ya Kijaji unaelewa unachosema.

Tukubali tukatae TAIFA letu lina Raia wenye fikra na Upeo Tofauti na kutawala watu wa namna hiyo kunahitaji mbinu na akili tofauti.
 
View attachment 3646048
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche ametoa msimamo wa chama hicho hakitambui tume iliyounfwa na Rais Samia Suluhu Hassan ya kuchunguza ghasia za uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na hata matokeo yake yatakapptolewa hawatayatambua.

Soma zaidi: Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu kutoka Uganda na Namibia kupata muono mpana

Akihutubia mkutano wa hadhara katika wilaya ya Rorya mkoani Mara Agosti 07, 2026, Heche amesema, kuundwa kwa tume hiyo ni mbinu ya kutaka kutengeneza picha isiyo halisi mbele ya jumuiya ya kimataifa.

Heche pia amekosoa vikali uamuzi wa kumjumuisha jaji kutoka Namibia, na Jaji kutoka nchini Uganda akidai kuwa nchi hiyo ina rekodi mbovu ya haki za binadamu na uhuru wa mahakama, huku akisema baadhi ya vyama nchini Namibia vimepinga jaji wao kutumika katika tume hiyo.
Duuh
 
Wewe unaelewa kweli?Mimi sijasema ninachotaka wala nisichotaka.Nimesema ninachoona.

Unaposema Rais Anatuhumiwa unaelewa hasa unachotaka kusema?Anatumiwa kama RAIS-CHEO au Rais Individual?Unaposema TUME HURU ya Kijaji unaelewa unachosema.

Tukubali tukatae TAIFA letu lina Raia wenye fikra na Upeo Tofauti na kutawala watu wa namna hiyo kunahitaji mbinu na akili tofauti.
Wewe huna lolote ni mwehu tu
 
Back
Top Bottom