Heche: CHADEMA hatuitambui Tume na matokeo yake yatakuwa feki

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,922
Reaction score
3,252
View attachment 3646048
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche ametoa msimamo wa chama hicho hakitambui tume iliyounfwa na Rais Samia Suluhu Hassan ya kuchunguza ghasia za uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na hata matokeo yake yatakapptolewa hawatayatambua.

Soma zaidi: Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu kutoka Uganda na Namibia kupata muono mpana

Akihutubia mkutano wa hadhara katika wilaya ya Rorya mkoani Mara Agosti 07, 2026, Heche amesema, kuundwa kwa tume hiyo ni mbinu ya kutaka kutengeneza picha isiyo halisi mbele ya jumuiya ya kimataifa.

Heche pia amekosoa vikali uamuzi wa kumjumuisha jaji kutoka Namibia, na Jaji kutoka nchini Uganda akidai kuwa nchi hiyo ina rekodi mbovu ya haki za binadamu na uhuru wa mahakama, huku akisema baadhi ya vyama nchini Namibia vimepinga jaji wao kutumika katika tume hiyo.
 
Hiyo tume bandia siyo tu haitambuliwi na CHADEMA pekee, bali haitambuliwi na Watanzania wote wenye akili timamu, wanaopenda haki na wenye uzalendo wa kweli kwa Taifa lao.

Uliona wapi mtuhumiwa anajiundia tume? Huu ni wizi wa kodi za watanzania, sawa na ule mwingine walioufanya wa kumlipa Mmarekani eti afanye kazi ya kuisafisha serikali ya wauaji. Hela ya watanganyika inachezewa sana!!
 
View attachment 3646048
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche ametoa msimamo wa chama hicho hakitambui tume iliyounfwa na Rais Samia Suluhu Hassan ya kuchunguza ghasia za uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na hata matokeo yake yatakapptolewa hawatayatambua.

Soma zaidi: Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu kutoka Uganda na Namibia kupata muono mpana

Akihutubia mkutano wa hadhara katika wilaya ya Rorya mkoani Mara Agosti 07, 2026, Heche amesema, kuundwa kwa tume hiyo ni mbinu ya kutaka kutengeneza picha isiyo halisi mbele ya jumuiya ya kimataifa.

Heche pia amekosoa vikali uamuzi wa kumjumuisha jaji kutoka Namibia, na Jaji kutoka nchini Uganda akidai kuwa nchi hiyo ina rekodi mbovu ya haki za binadamu na uhuru wa mahakama, huku akisema baadhi ya vyama nchini Namibia vimepinga jaji wao kutumika katika tume hiyo.
kwamba hilo ni jambo jipyaaaa kwa mvuta bangi kama heche kulitamka?

kwani kuna tume chadema katika ujumla wake imewahi kuikubali humu nchini?

In fact,
akubali au asikubali, heche na chadema kwa ujumla wao kwa pamoja hawana athari zozote zile kisiasa, kijamii au kiuchumi 🐒
 
Wewe kabwela ndio unaona hakuna athari zozote Ila wenye akili timamu wanaiona hatari ILIOPO MBELE yetu Kama taifa wewe endelea kukata viuno hapo lumumba
 
View attachment 3646048
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche ametoa msimamo wa chama hicho hakitambui tume iliyounfwa na Rais Samia Suluhu Hassan ya kuchunguza ghasia za uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na hata matokeo yake yatakapptolewa hawatayatambua.

Soma zaidi: Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu kutoka Uganda na Namibia kupata muono mpana

Akihutubia mkutano wa hadhara katika wilaya ya Rorya mkoani Mara Agosti 07, 2026, Heche amesema, kuundwa kwa tume hiyo ni mbinu ya kutaka kutengeneza picha isiyo halisi mbele ya jumuiya ya kimataifa.

Heche pia amekosoa vikali uamuzi wa kumjumuisha jaji kutoka Namibia, na Jaji kutoka nchini Uganda akidai kuwa nchi hiyo ina rekodi mbovu ya haki za binadamu na uhuru wa mahakama, huku akisema baadhi ya vyama nchini Namibia vimepinga jaji wao kutumika katika tume hiyo.
Screenshot_20260807-121300~2.png
 
kwamba hilo ni jambo jipyaaaa kwa mvuta bangi kama heche kulitamka?

kwani kuna tume chadema katika ujumla wake imewahi kuikubali humu nchini?

In fact,
akubali au asikubali, heche na chadema kwa ujumla wao kwa pamoja hawana athari zozote zile kisiasa, kijamii au kiuchumi 🐒
Screenshot_20260714-183814~2.png
 
Back
Top Bottom