kwamba hilo ni jambo jipyaaaa kwa mvuta bangi kama heche kulitamka?View attachment 3646048
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche ametoa msimamo wa chama hicho hakitambui tume iliyounfwa na Rais Samia Suluhu Hassan ya kuchunguza ghasia za uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na hata matokeo yake yatakapptolewa hawatayatambua.
Soma zaidi: Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu kutoka Uganda na Namibia kupata muono mpana
Akihutubia mkutano wa hadhara katika wilaya ya Rorya mkoani Mara Agosti 07, 2026, Heche amesema, kuundwa kwa tume hiyo ni mbinu ya kutaka kutengeneza picha isiyo halisi mbele ya jumuiya ya kimataifa.
Heche pia amekosoa vikali uamuzi wa kumjumuisha jaji kutoka Namibia, na Jaji kutoka nchini Uganda akidai kuwa nchi hiyo ina rekodi mbovu ya haki za binadamu na uhuru wa mahakama, huku akisema baadhi ya vyama nchini Namibia vimepinga jaji wao kutumika katika tume hiyo.
Wewe kabwela ndio unaona hakuna athari zozote Ila wenye akili timamu wanaiona hatari ILIOPO MBELE yetu Kama taifa wewe endelea kukata viuno hapo lumumbakwamba hilo ni jambo jipyaaaa kwa mvuta bangi kama heche kulitamka?
kwani kuna tume chadema katika ujumla wake imewahi kuikubali humu nchini?
In fact,
akubali au asikubali, heche na chadema kwa ujumla wao kwa pamoja hawana athari zozote zile kisiasa, kijamii au kiuchumi π
View attachment 3646048
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche ametoa msimamo wa chama hicho hakitambui tume iliyounfwa na Rais Samia Suluhu Hassan ya kuchunguza ghasia za uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na hata matokeo yake yatakapptolewa hawatayatambua.
Soma zaidi: Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu kutoka Uganda na Namibia kupata muono mpana
Akihutubia mkutano wa hadhara katika wilaya ya Rorya mkoani Mara Agosti 07, 2026, Heche amesema, kuundwa kwa tume hiyo ni mbinu ya kutaka kutengeneza picha isiyo halisi mbele ya jumuiya ya kimataifa.
Heche pia amekosoa vikali uamuzi wa kumjumuisha jaji kutoka Namibia, na Jaji kutoka nchini Uganda akidai kuwa nchi hiyo ina rekodi mbovu ya haki za binadamu na uhuru wa mahakama, huku akisema baadhi ya vyama nchini Namibia vimepinga jaji wao kutumika katika tume hiyo.
kwamba hilo ni jambo jipyaaaa kwa mvuta bangi kama heche kulitamka?