Heche: Chadema Mwenyekiti wake ni Mbowe, akanusha kuwepo kambi ya Lissu na Mwenyekiti

Heche: Chadema Mwenyekiti wake ni Mbowe, akanusha kuwepo kambi ya Lissu na Mwenyekiti

Huu wimbo wa ccm kwamba lowasa alitoa pesaili kuingia Chadema mbona umeshafubaa? Alitoa sh. ngapi? Nani alipokea? Je! alipotoka Chadema kwenda ccm alilipa sh. ngapi?
Kuhusu uenyekiti wa Chadema:- Inakuwaje wanachadema hawana tatizo na m/kiti wao, ila ccm ndio wenye shida? Ccm badala ya kuhangaika na umasikini wa taifa hili, wanahangaika na uenyekiti wa Chadema. Kachukueni basi form mgombee.
Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti wa Chadema hatamiaka 100. Mliharibu bustani yake, mkavunja bilicanas, mkamsingizia ugaidi yote yameshindikana. Mwenyewe anasema hata mkavunja ile nyumba anayoishi; no surrender no retreat.
Ubarikiwe sana,cha ajabu ccm wanahangaika na uenyekiti wa Mbowe Chadema utafikiri Mbowe ni CCM.
 
Honestly huwa sielewi unaongeaga utoto gani. Inaonekana ww ni wale mliochelewa kujua kusoma na kuandika.
Hicho ni Kibeligiji
Mbowe ni Dikteta
Mungu yupo huko ulipo na huku Afrika
....sasa ni gugugaga gani usioielewa
 
Back
Top Bottom