Ni kweli kabisa yeye ni mzanzibari, ni mwanamke na ni mama, alishajisemea Bi. Tozo...kwa criteria hizo upepo wa ushindi hana.Huyu mkurya aliye na wajomba na baba wadogo Kenya, aliyesoma SAUT kwa kulipiwa na Barrick North Mara na mkopo wa bodi ya elimu anajiona msafi kuliko watanzania wengine
Mother hajawahi kumsema Heche ni Mkenya
HayaWewe mropokaji tunaongela MAONI siyo Uongo
Past tenseKabla- MAANA YAKE NINI?
Mbona mama yako ana wajomba oman huko ww inakuuma nn yeye kuwa na baba wadogo kenya....Tumia muda wako kuboresha maisha yako ya sasa na kizazi chako kijacho usije kusingizia hukuwa na nafasi....Chawa!Hujagundua tofauti yao- Mkenya Heche anaropoka wakati Mrudi Makamu wa rais kanyamaza
Una uhakika?Hujagundua tofauti yao- Mkenya Heche anaropoka wakati Mrudi Makamu wa rais kanyamaza
Mungu anaipenda sana nchi hii- kama siyo Mungu:-Ni kweli kabisa yeye ni mzanzibari, ni mwanamke na ni mama, alishajisemea Bi. Tozo...kwa criteria hizo upepo wa ushindi hana.
Kashasema sasa kilichobaki mkamteke tu au mafele hajawapa go ahead?Tunahitaji kuambiwa? Je hizo ni sifa za kumfanya asichaguliwe? ANYWAY- UPUMBAVU KAMA ULIVYO HAUNA DAWA NI KIPAWA KITUMIE
Kwani hapo shida ni ipi? Rais ni Mzanzibari na mwenyewe alishasema ni Mzanzibari, kwani kuwa Mzanzibari ni kosa kutajwa?Huyu mkurya aliye na wajomba na baba wadogo Kenya, aliyesoma SAUT kwa kulipiwa na Barrick North Mara na mkopo wa bodi ya elimu anajiona msafi kuliko watanzania wengine
Kwa hiyo mzanzibari sio mtanzania mbona sasa unachanganya mambo?Hawezi kwa kuwa ni Mtanzania...
Mkuu msikilize mropokaji mwenzakoKwani hapo shida ni ipi? Rais ni Mzanzibari na mwenyewe alishasema ni Mzanzibari, kwani kuwa Mzanzibari ni kosa kutajwa?
Ndiyo ni mwanamke hiyo haimnyimi nafasi kuwa Rais.
Wewe tu na hofu yako,au ukweli ni kosa?