Automata
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 3,414
- 4,794
Ni kweli kabisa yeye ni mzanzibari, ni mwanamke na ni mama, alishajisemea Bi. Tozo...kwa criteria hizo upepo wa ushindi hana.Huyu mkurya aliye na wajomba na baba wadogo Kenya, aliyesoma SAUT kwa kulipiwa na Barrick North Mara na mkopo wa bodi ya elimu anajiona msafi kuliko watanzania wengine