Pre GE2025 Heche: Huyu mama hawezi kushinda uchaguzi Lissu akiwa mgombea na sisi tukiongoza chama sababu ni mwanamke, Mzanzibar na hana hoja

Pre GE2025 Heche: Huyu mama hawezi kushinda uchaguzi Lissu akiwa mgombea na sisi tukiongoza chama sababu ni mwanamke, Mzanzibar na hana hoja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu mkurya aliye na wajomba na baba wadogo Kenya, aliyesoma SAUT kwa kulipiwa na Barrick North Mara na mkopo wa bodi ya elimu anajiona msafi kuliko watanzania wengine

Ni kweli kabisa yeye ni mzanzibari, ni mwanamke na ni mama, alishajisemea Bi. Tozo...kwa criteria hizo upepo wa ushindi hana.
 
Watanzania tuna baguana sana kuna siku nimemsikia jamaa akisema hawa wenye rangi nyeupe(shombeshombe) warudi makwao.

Nikajiuliza hivi uwe mtanzania halisi inatakiwa uwe mweusi tu, halafu kuna siku nikakutana na mlevi akisema. Hawa weusi wengi sio watanzania ni wakimbizi wa Sudan hawa.

Kwakweli hii nchi inahitaji elimu ya uzalendo na kujitambu
 
Ni kweli kabisa yeye ni mzanzibari, ni mwanamke na ni mama, alishajisemea Bi. Tozo...kwa criteria hizo upepo wa ushindi hana.
Mungu anaipenda sana nchi hii- kama siyo Mungu:-
  1. Mrema angekuwa rais
  2. CHADEMA wasingekuwa wnaripoka siri zao za miaka yote
 
Mbona mama yako ana wajomba oman huko ww inakuuma nn yeye kuwa na baba wadogo kenya....Tumia muda wako kuboresha maisha yako ya sasa na kizazi chako kijacho usije kusingizia hukuwa na nafasi....Chawa!
Wewe ongeza idadi ya WAROPOKAJI
 
Huyu mkurya aliye na wajomba na baba wadogo Kenya, aliyesoma SAUT kwa kulipiwa na Barrick North Mara na mkopo wa bodi ya elimu anajiona msafi kuliko watanzania wengine

Kwani hapo shida ni ipi? Rais ni Mzanzibari na mwenyewe alishasema ni Mzanzibari, kwani kuwa Mzanzibari ni kosa kutajwa?
Ndiyo ni mwanamke hiyo haimnyimi nafasi kuwa Rais.
Wewe tu na hofu yako,au ukweli ni kosa?
 
Mkuu msikilize mropokaji mwenzako
 
I might disagree with what you are saying but I will fight to the death for your right to say it...

Tusianze kuzibana Midomo
 
Back
Top Bottom