Ubaguzi unaweza kukusaidia kushinda ila bado ni UBAGUZI TUKuna kitu umekiongea vibaya kwenye hoja yako.
Heche kama ni Heche kweli anaongelea strengths na weaknesses za Samia.
Nani asiyejua kwa Tanzania ya leo mgombea mwanamke ana nafasi Ndogo kushinda kuliko mwanaume kama mambo mengine yote wanafanana?
Hivyo hivyo Samia kuwa Mzanzibar ni weakness kwenye uraias wa Tanzania. Ni sawa na mtu aseme Mbowe kuwa mchaga ni tatizo kwenye Urais.
Misogyny ni kitu tofauti kabisa. Hedge anaongelea facts zilizopo na hata wewe Unajua.
Tulipaswa kuambiwa na hasa kuambiwa kuwa huo wasifu unamfanya asiwa na sifa ya kuchaguliwa?
Kwa hii katiba ilivyo rais atatoka CCM tu haijalishi ni nani hata kama litasimamishwa Jiwe kugonbea dhidi ya binadamu wa upinzani na huo ndo ukweli mchungu.....Heche na Lissu wamekutana pipa na mfuniko....siasa wanazoenda nazo hazitowafikisha popote kutokana na aina ya watu watakaowaongoza....hawahawa wanaomkimbia Mbowe kwny maandamano ndo hao hao watakaowakimbia wao wakiitisha maandamano.....na anaposema Mama hatoshinda wao wakiwa viongozi wa Chama watatumia mbinu gani hasa....wakisusa uchaguzi vyama vingine vitashiriki...wakishiriki kwa Katiba hiihii bdo watakula za uso hata kwa kuibiwa.......anaweza asichaguliwe na watu wanaoamini katika mfumo dume, au wanaoamini Raisi wa muungano anapaswa kuwa Mtanganyika kwasababuWazanzibari wana Raisi na serikali yao.
..pia anaweza kuchaguliwa na wale wanaoamini wanawake nao wanastahili kuongoza sawa na wanaume, au wanaoamini Tanzania ni nchi moja hivyo haijalishi Raisi wa muungano anatoka Tanganyika, au Zanzibar.
Kwahiyo hapo ni ubaguzi wa Watanganyika wote na sio Heche pekee.Ubaguzi unaweza kukusaidia kushinda ila bado ni UBAGUZI TU
Kwa hiyo mzanzibari sio mtanzania mbona sasa unachanganya mambo?
Kwa hii katiba ilivyo rais atatoka CCM tu haijalishi ni nani hata kama litasimamishwa Jiwe kugonbea dhidi ya binadamu wa upinzani na huo ndo ukweli mchungu.....Heche na Lissu wamekutana pipa na mfuniko....siasa wanazoenda nazo hazitowafikisha popote kutokana na aina ya watu watakaowaongoza....hawahawa wanaomkimbia Mbowe kwny maandamano ndo hao hao watakaowakimbia wao wakiitisha maandamano.....na anaposema Mama hatoshinda wao wakiwa viongozi wa Chama watatumia mbinu gani hasa....wakisusa uchaguzi vyama vingine vitashiriki...wakishiriki kwa Katiba hiihii bdo watakula za uso hata kwa kuibiwa.....
mkuu mimi sifuatilii siasi but the guy is very smart upstairs.!!Chukua Clips kumi za John Heche msikilize utagundua uwezo wake ni mdogo sana
Watu wenye uwezo mdogo hujificha kwa kutukana Viongozi na Serikali
Huwezi kumfananisha na kizazi cha akina Ester Bulaya, Halima Mdee, Zitto Kabwe, Kafulila, John Mnyika wakijenga hoja bungeni
Heche ni mtupu sana
Labda waliosoma nae waje watupe ufafanunuzi zaidi
Heche huishia kutoa / ku-address challenges bila kuja na Solutions/ Way forward!!
Mbowe alipelekwa mahakamani na akapatikana na kesi ya kujibu- hakujitetea na wala hakujibu na hajashinda kesi HIVYO Mbowe ni gaidi
Hoja yako ni hafifu sana.Hujagundua tofauti yao- Mkenya Heche anaropoka wakati Mrudi Makamu wa rais kanyamaza
Kwa vile anajua Heche ni Mkurya wa TarimeMother hajawahi kumsema Heche ni Mkenya
Tulikuwa na haki ya kukemea upendeleo wa Chato na sasa tuna haki ile ile kukemea upendeleo wa Kizimkazi.Hawana haki ya kutoa maoni ya kibaguzi na yanayo hatarisha umoja wa kitaifa kama wapi Rais anatoka, mwanamke n.k.
Pole, ndugu. Ndiyo maana hujawa. Hata pesa ombea zisikutembelee. Ungeua maelfu. Halafu kizazi chako kirithi damu isiyo na hatia. Yeye kasema maneno tu, ila wewe ungeutumia Urais kumfanyia lolote.Sijui ndo maana sijawa kiongozi Mimi.....Yaani Mimi mtu anitukane na kunibagua hv na uwezo ninao😬😬😬😬😬 Dah!!!
Kabisa, mi sina simile na mijitu mipumbavu iliyojaa chuki. Ni hatari zaidi kwenye jamii hiyo........miji inaweza kuwaka moto na kubadilika kabisa mkiwaentertain watu kama hao.Pole, ndugu. Ndiyo maana hujawa. Hata pesa ombea zisikutembelee. Ungeua maelfu. Halafu kizazi chako kirithi damu isiyo na hatia. Yeye kasema maneno tu, ila wewe ungeutumia Urais kumfanyia lolote.
Hiyo ndiyo siasa. Wale wale walisema gaidi, leo wamegeuka kumsifu, kumpamba na kumpongeza,😗..Maza aliwahi kusema Mbowe ni gaidi, kitu ambacho uongo.
But my study inanionyesha kila tabia ikizidi ni ugonjwa unaotaka tiba. Ukali kama wako ni ugonjwa, upole kama wangu ni ugonjwa. Uchawa wa kusifu watu kama MUNGU ni ugonjwa, kufurahia, mateso ya watu wengine ni ugonjwa nk nk. Ila kuna ugonjwa nafuu kidogo kuliko lakini sio ugonjwa wa ukatili kwa binadamu wengine.Kabisa, mi sina simile na mijitu mipumbavu iliyojaa chuki. Ni hatari zaidi kwenye jamii hiyo........miji inaweza kuwaka moto na kubadilika kabisa mkiwaentertain watu kama hao.
Kwahiyo unaona huu ugonjwa wa heche mdogo?!! Wa kuvumilia?!!!But my study inanionyesha kila tabia ikizidi ni ugonjwa unaotaka tiba. Ukali kama wako ni ugonjwa, upole kama wangu ni ugonjwa. Uchawa wa kusifu watu kama MUNGU ni ugonjwa, kufurahia, mateso ya watu wengine ni ugonjwa nk nk. Ila kuna ugonjwa nafuu kidogo kuliko lakini sio ugonjwa wa ukatili kwa binadamu wengine.