Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Mtanganyika akiongea anaonekana mbaguzi, ila mzanzibar akiongea sio mbaguzi, ifike mahali Tanganyika iwe Tanganyika na itawaliwe na Mtanganyika, ndiye mwenye uchungu. sijawahi kufurahia kutawaliwa na mzanzibar na huwa sipendi.Anataka watu warekodiwe karekodiwa yeye mwenyewe. Hana hoja kakalia ubaguzi na misogyny.
Mtazamo wa kijinga haswa.
Wewe uliyezaliwa Dodoma au Singida nani alikwambia ni mtanzania halisi?. Una uhakika na hizo historia ulizoambiwa na wazazi wako ulipokuwa mtoto mdogo?.Warundi walio ingia nchini kiujanja ujanja wakaishi pale Kasumo mpakani na Burundi sio Watanzania halis.
Wewe Keyboard Warrior unaweza kuongea hivyo hadharani?Kwani kaongea uongo siyo mzanzibar? watulie
Hamia BurundiMtanganyika akiongea anaonekana mbaguzi, ila mzanzibar akiongea sio mbaguzi, ifike mahali Tanganyika iwe Tanganyika na itawaliwe na Mtanganyika, ndiye mwenye uchungu. sijawahi kufurahia kutawaliwa na mzanzibar na huwa sipendi.
JPM alikuwa mtanganyika kama wewe, kitu gani cha maana ulichokipata katika awamu yake zaidi ya kuja na maneno ya kipumbavu ya kusema kila kitu kizuri kinapelekwa Chato?.Mtanganyika akiongea anaonekana mbaguzi, ila mzanzibar akiongea sio mbaguzi, ifike mahali Tanganyika iwe Tanganyika na itawaliwe na Mtanganyika, ndiye mwenye uchungu. sijawahi kufurahia kutawaliwa na mzanzibar na huwa sipendi.
Katiba imetoa haki ya uhuru wa kutoa maoni ila haijatamka chochote kuhusu uhuru baada ya kutoa maoni. Vijana kuweni makiniWatu wana haki kutoa maoni yao kama yanavunja sheria basi wafikishwe mahakamani.
Dah mtu mbaguzi ni hatari sana akipewa nafasiHuyu mkurya aliye na wajomba na baba wadogo Kenya, aliyesoma SAUT kwa kulipiwa na Barrick North Mara na mkopo wa bodi ya elimu anajiona msafi kuliko watanzania wengine.
UWT kutwa mnawaza ngono pekeeIshi nayo iyo, then umwambia Yule luga luga mwenzio Heche akupunguzie dose ya kukupumulia mtoto wa kiume Sio nzuri kwa afya yako.
JPM alikuwa mkatili sana, lakini alifanya mambo makubwa sana, kama hauyaoni utakuwa hauna akili.JPM alikuwa mtanganyika kama wewe, kitu gani cha maana ulichokipata katika awamu yake zaidi ya kuja na maneno ya kipumbavu ya kusema kila kitu kizuri kinapelekwa Chato?.
Ni kosa kisheria au ni uongo siyo mzanzibar? nyie UWT akili zenu zipo nusuWewe Keyboard Warrior unaweza kuongea hivyo hadharani?
Wazanzibar siwataki mimi na familia yangu ni watu wa hovyo snkwa bahati mbaya, watanganyika wote hatupendi kutawaliwa na mzanzibar, pili, hata mandege yananunuliwa hayo, umeme mnatumia, na mipesa mingi hatujui kama inachotwa na kupelekwa kujenga zanzibar. wazanzibar wana ubaguzi sana dhidi ya watanganyika na ukiongea tu kuhusu utanganyika wasipokwambia wewe mbaguzi watakwambia wewe ni mdini. ujinga mkubwa sana, ifike mahali wazanzibari watawaliwe na mzanzibar, na watanganyika watawaliwe na mtanganyika, na resources za Tanganyika zijenge Tanganyika na kununua madege ya watanganyika. hii ndio sababu watanganyika wanamtaka mtu wa kuwavusha kwenye hayo.
Hujajibu swali langu Keyboard WarriorNi kosa kisheria au ni uongo siyo mzanzibar? nyie UWT akili zenu zipo nusu
Lipi dada angu?Hujajibu swali langu Keyboard Warrior
Ikiwa mtazamo wako ni sahihi basi pia na wazanzibari wameonewa sana kwa kutawaliwa na watanganyika siku zote.Mtanganyika akiongea anaonekana mbaguzi, ila mzanzibar akiongea sio mbaguzi, ifike mahali Tanganyika iwe Tanganyika na itawaliwe na Mtanganyika, ndiye mwenye uchungu. sijawahi kufurahia kutawaliwa na mzanzibar na huwa sipendi.
WEWE hujuii? Kuwa não ukienda Kwao ZANZIBAR wanatuita akina CHOGO???Watanzania tuna baguana sana kuna siku nimemsikia jamaa akisema hawa wenye rangi nyeupe(shombeshombe) warudi makwao.
Nikajiuliza hivi uwe mtanzania halisi inatakiwa uwe mweusi tu, halafu kuna siku nikakutana na mlevi akisema. Hawa weusi wengi sio watanzania ni wakimbizi wa Sudan hawa.
Kwakweli hii nchi inahitaji elimu ya uzalendo na kujitambu
Tuache ujinga wa ubaguzi hautusaidii chochote ndio ujumbe wa hayo maneno yangu.JPM alikuwa mkatili sana, lakini alifanya mambo makubwa sana, kama hauyaoni utakuwa hauna akili.