kwa bahati mbaya, watanganyika wote hatupendi kutawaliwa na mzanzibar, pili, hata mandege yananunuliwa hayo, umeme mnatumia, na mipesa mingi hatujui kama inachotwa na kupelekwa kujenga zanzibar. wazanzibar wana ubaguzi sana dhidi ya watanganyika na ukiongea tu kuhusu utanganyika wasipokwambia wewe mbaguzi watakwambia wewe ni mdini. ujinga mkubwa sana, ifike mahali wazanzibari watawaliwe na mzanzibar, na watanganyika watawaliwe na mtanganyika, na resources za Tanganyika zijenge Tanganyika na kununua madege ya watanganyika. hii ndio sababu watanganyika wanamtaka mtu wa kuwavusha kwenye hayo.