Pre GE2025 Heche: Huyu mama hawezi kushinda uchaguzi Lissu akiwa mgombea na sisi tukiongoza chama sababu ni mwanamke, Mzanzibar na hana hoja

Pre GE2025 Heche: Huyu mama hawezi kushinda uchaguzi Lissu akiwa mgombea na sisi tukiongoza chama sababu ni mwanamke, Mzanzibar na hana hoja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Anataka watu warekodiwe karekodiwa yeye mwenyewe. Hana hoja kakalia ubaguzi na misogyny.
Mtazamo wa kijinga haswa.
Mtanganyika akiongea anaonekana mbaguzi, ila mzanzibar akiongea sio mbaguzi, ifike mahali Tanganyika iwe Tanganyika na itawaliwe na Mtanganyika, ndiye mwenye uchungu. sijawahi kufurahia kutawaliwa na mzanzibar na huwa sipendi.
 
Warundi walio ingia nchini kiujanja ujanja wakaishi pale Kasumo mpakani na Burundi sio Watanzania halis.
Wewe uliyezaliwa Dodoma au Singida nani alikwambia ni mtanzania halisi?. Una uhakika na hizo historia ulizoambiwa na wazazi wako ulipokuwa mtoto mdogo?.

Huu uzi una ujumbe wa kibaguzi nyuma yake huyo mheshimiwa hana hoja ya kuunganisha nchi analeta ukanda na uzanzibari ili apate sifa kwa wasikilizaji hajui kuwa wapo baadhi wenye akili zaidi wanampuuza tu.
 
Mtanganyika akiongea anaonekana mbaguzi, ila mzanzibar akiongea sio mbaguzi, ifike mahali Tanganyika iwe Tanganyika na itawaliwe na Mtanganyika, ndiye mwenye uchungu. sijawahi kufurahia kutawaliwa na mzanzibar na huwa sipendi.
JPM alikuwa mtanganyika kama wewe, kitu gani cha maana ulichokipata katika awamu yake zaidi ya kuja na maneno ya kipumbavu ya kusema kila kitu kizuri kinapelekwa Chato?.
 
Watu wana haki kutoa maoni yao kama yanavunja sheria basi wafikishwe mahakamani.
Katiba imetoa haki ya uhuru wa kutoa maoni ila haijatamka chochote kuhusu uhuru baada ya kutoa maoni. Vijana kuweni makini
 
kwa bahati mbaya, watanganyika wote hatupendi kutawaliwa na mzanzibar, pili, hata mandege yananunuliwa hayo, umeme mnatumia, na mipesa mingi hatujui kama inachotwa na kupelekwa kujenga zanzibar. wazanzibar wana ubaguzi sana dhidi ya watanganyika na ukiongea tu kuhusu utanganyika wasipokwambia wewe mbaguzi watakwambia wewe ni mdini. ujinga mkubwa sana, ifike mahali wazanzibari watawaliwe na mzanzibar, na watanganyika watawaliwe na mtanganyika, na resources za Tanganyika zijenge Tanganyika na kununua madege ya watanganyika. hii ndio sababu watanganyika wanamtaka mtu wa kuwavusha kwenye hayo.
 
Wazanzibar siwataki mimi na familia yangu ni watu wa hovyo sn
 
Mtanganyika akiongea anaonekana mbaguzi, ila mzanzibar akiongea sio mbaguzi, ifike mahali Tanganyika iwe Tanganyika na itawaliwe na Mtanganyika, ndiye mwenye uchungu. sijawahi kufurahia kutawaliwa na mzanzibar na huwa sipendi.
Ikiwa mtazamo wako ni sahihi basi pia na wazanzibari wameonewa sana kwa kutawaliwa na watanganyika siku zote.

Tulia tuwanyooshe, shubaamit.
 
Watanzania tuna baguana sana kuna siku nimemsikia jamaa akisema hawa wenye rangi nyeupe(shombeshombe) warudi makwao.

Nikajiuliza hivi uwe mtanzania halisi inatakiwa uwe mweusi tu, halafu kuna siku nikakutana na mlevi akisema. Hawa weusi wengi sio watanzania ni wakimbizi wa Sudan hawa.

Kwakweli hii nchi inahitaji elimu ya uzalendo na kujitambu
WEWE hujuii? Kuwa não ukienda Kwao ZANZIBAR wanatuita akina CHOGO???
 
John Heche aache kudharau sana kwa Mh. Rais wetu, lugha anayotumia sio sahihi, siasa za ustaarabu ni kufanya siasa bila kudharau utu au jinsia ya mtu..!!
 
JPM alikuwa mkatili sana, lakini alifanya mambo makubwa sana, kama hauyaoni utakuwa hauna akili.
Tuache ujinga wa ubaguzi hautusaidii chochote ndio ujumbe wa hayo maneno yangu.

Samia anafanya kazi nzito sana ya kuifungua Tanzania na viwanda vingi vinajengwa muda huu JPM alifanya mengi sana na akaifufua ATCL iliyokuwa taabani lakini tunatazama upande wao mdogo sana wa wapi wanapotokea kuliko kutazama picha pana ya kile wanachokfianya.
 
Back
Top Bottom