Warundi walio ingia nchini kiujanja ujanja wakaishi pale Kasumo mpakani na Burundi sio Watanzania halis.
Acha utapeli we jamaa. Uyo mzee hana ndugu Burundi. Ninaijua familia yao vizuri sana.