Buguruni CUF enzi zileKuna taarifa za CCM kwa kumtumia msajili wa vyama vya siasa jaji Mtungi na polisi kutaka kuteka ofisi za CHADEMA makao makuu kuanzia sasa muda wowote hadi June 6, ameandika hivyo Heche kupitia mtandao wa twitter (X)
View attachment 3333988
Inasikitisha sana
Haahaa mtungi Bado anapambana na chadema tu.Kwa sasa kupambana na chadema ni kupambana na mungu kwa kweli...Serikali ya CCM, Rais Samia kama kuna watu wanakushauri haya basi wanakupotosha sana.
Nafikiri hamjui kiu ya Watanzania kutaka mabadiliko. Kila hila mnazopanga na kufanya dhidi ya chama chetu mnakiimalisha zaidi.Sisi hatutawapigia magoti.
View attachment 3333988
Huyu tungi bado hajitambui aisee yaani hataki kabisa historia imwandike akiwa upande wa haki,naona amejiapia kabisa afe upande walaana na dhulumaSerikali ya CCM, Rais Samia kama kuna watu wanakushauri haya basi wanakupotosha sana.
Nafikiri hamjui kiu ya Watanzania kutaka mabadiliko. Kila hila mnazopanga na kufanya dhidi ya chama chetu mnakiimalisha zaidi.Sisi hatutawapigia magoti.
View attachment 3333988
Wafunge ccctv za kisasa zinazojisave direct online na alarm.Mambo ya aibu haya!
Huyo ng'ombe atulie, mabadiliko ya kuwa kibaraka? Abadilishe maisha yake. Mhuni km huyo nani amwachie nchi. Mwehu tu huyoSerikali ya CCM, Rais Samia kama kuna watu wanakushauri haya basi wanakupotosha sana.
Nafikiri hamjui kiu ya Watanzania kutaka mabadiliko. Kila hila mnazopanga na kufanya dhidi ya chama chetu mnakiimalisha zaidi.Sisi hatutawapigia magoti.
View attachment 3333988
Kwamba wanataka kumrudisha Mbowe madarakani kwa nguvu?Lipumba style
Wazo zuri sana hiliWafunge ccctv za kisasa zinazojisave direct online na alarm.
Na ndiyo lengoKwamba wanataka kumrudisha Mbowe madarakani kwa nguvu?
Watu wana taifa lao la Zanzibar sheeh.The state wajibu wenu in kulinda taifa,na taifa Lina watu wenye itikadi tofauti na mitazamo tofauti,mmeyaruhusu haha Kwa muda mrefu !he mnafikiri wajibu wenu juu ya taifa ni haya yanayoendelea!!?kama hamridhiki kwanini msitumie organs muhimu haya yakasitishwa!!?
Nawaza TU,ni vema kama mngepata wasaa was kulitathmini taifa kama linajengeka au lah,CCM ni kama moto aliedekezwa sana na Sasa kafikia hatua ya kuwatukana wakubwa!!!