PreGE2025 Heche: Kuna mkakati wa kutumia msajili wa vyama vya siasa na polisi kuteka ofisi za CHADEMA

PreGE2025 Heche: Kuna mkakati wa kutumia msajili wa vyama vya siasa na polisi kuteka ofisi za CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Buguruni CUF enzi zile
Kumbukumbu nzuri sana hii.
Nilianza kujiuliza, watatekaje ofisi, kwa minajili gani,..., hadi ulipo nistua akili na mfano huu halisi kabisa.

Mbowe anaweza kweli kuwa mshiriki wa upuuzi wa aina hii?
Ameshuka kiwango kiasi hiki kwa spidi ya mwanga?

Atatushangaza wengi sana akijihusisha na ujinga wa namna hii; hasa wakati kama huu ambapo wananchi wameanza kuona matumaini ya kuikomboa nchi yetu.
 
Serikali ya CCM, Rais Samia kama kuna watu wanakushauri haya basi wanakupotosha sana.

Nafikiri hamjui kiu ya Watanzania kutaka mabadiliko. Kila hila mnazopanga na kufanya dhidi ya chama chetu mnakiimalisha zaidi.Sisi hatutawapigia magoti.

View attachment 3333988
Mutungi atakuwa Msajili wa kwanza wa vyama vya siasa kufungwa jela
 
For Great Thinkers:

When changes are inevitable, any attempt(s ) to stop the required changes, is automatically an attempt to speed up the desired changes.
^When changes are inevitable, any attempt to stop or hinder them automatically accelerates the process.^~ Noah's First Law of Flood.
 
Habari ya leo GT.
Rejea kichwa cha habari hapo juu, kama makao makuu ya CHADEMA MIKOCHENI yatatekwa na CMM&MSAJILI, napendekeza hatua ifuatayo ichukuliwe;

1: Chama ipitishe ofisi yoyote ya Mkoa hasa kwenye ngome zake iwe ndo makao makuu, Makao makuu siyo lazima yawe Dar es Salaam.

2: Chama ianzishe ujenzi wa makao makuu ya Chama hasa Dodoma, kwa michango ya wananchi, tuachane na makao makuu ya masimango(makao makuu ya ruzuku)
3.
4.
Nakaribusha maoni zaidi.

..Chadema waandae " chama mamluki, " ili mambo yakiharibika waweze kusepa na kuendelea na harakati.

.
 
Huwa najiuliza hawa tangu zamani malalamiko na mambo ya ajabu hufanywa na hawa wenyeviti mara wa Tume mara Msajili wa vyama!!!

Hawa wote ni ma Jaji lakini matendo yao huwa ni aibu sana na fedheha kwa Nchi.

Mtu hawezi kutaka kusoma sheria ili awe kama Hawa jamaa mana wanadhalilisha sana hiyo taaluma. Unahangaika na kutumia nguvu nyingi kuumiza watu..
 
Huyo ng'ombe atulie, mabadiliko ya kuwa kibaraka? Abadilishe maisha yake. Mhuni km huyo nani amwachie nchi. Mwehu tu huyo
Wahuni ni wazazi wako waliozaa tutusa kama wewe na wanaendelea kuishi kwenye umasikini wakati wana bwege kama wewe la kutoa kafara.
 
Kumbukumbu nzuri sana hii.
Nilianza kujiuliza, watatekaje ofisi, kwa minajili gani,..., hadi ulipo nistua akili na mfano huu halisi kabisa.

Mbowe anaweza kweli kuwa mshiriki wa upuuzi wa aina hii?
Ameshuka kiwango kiasi hiki kwa spidi ya mwanga?

Atatushangaza wengi sana akijihusisha na ujinga wa namna hii; hasa wakati kama huu ambapo wananchi wameanza kuona matumaini ya kuikomboa nchi yetu.
Ukisikiliza maelezo ya vibaraka wake wanayotoa kwenye press zaa kujitoa Chadema ndiyo utajua kuwa ni nani yuko nyuma ya G 55. Mbowe amekubali kushikiwa akili na Samia kwani hakuwa na mpango hata wa kugombea tena uenyekiti ila kwa ushawishi wa Mzanzibari akaingia kichwa kichwa na kuvuna aibu sasa zile hela alizopewa kwenye project ya kumzuia Lissu asiwe mwenyekiti wala mgombea urais ndiyo anazitafutia matumizi kwa staili hii.
 
Habari ya leo GT.
Rejea kichwa cha habari hapo juu, kama makao makuu ya CHADEMA MIKOCHENI yatatekwa na CMM&MSAJILI, napendekeza hatua ifuatayo ichukuliwe;

1: Chama ipitishe ofisi yoyote ya Mkoa hasa kwenye ngome zake iwe ndo makao makuu, Makao makuu siyo lazima yawe Dar es Salaam.

2: Chama ianzishe ujenzi wa makao makuu ya Chama hasa Dodoma, kwa michango ya wananchi, tuachane na makao makuu ya masimango(makao makuu ya ruzuku)
3.
4.
Nakaribusha maoni zaidi.
Solution ni haki tu itendeke, huyo huyo Mutungi kuna siku atataka kugombea au msaada kutoka chadema, nani alitegemea Lowassa au Summaye kuhamia chadema? Summaye si andiosema wapinzani ni magaid wakati wa Mahitai? Dunia hii ni vizuri kumtumikia Muumba kuliko binaadam mwenzio. PENYE HAKI NITAKUWA KWENYE HAKI
 
Back
Top Bottom