PreGE2025 Heche: Kuna mkakati wa kutumia msajili wa vyama vya siasa na polisi kuteka ofisi za CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
The state wajibu wenu in kulinda taifa,na taifa Lina watu wenye itikadi tofauti na mitazamo tofauti,mmeyaruhusu haha Kwa muda mrefu !he mnafikiri wajibu wenu juu ya taifa ni haya yanayoendelea!!?kama hamridhiki kwanini msitumie organs muhimu haya yakasitishwa!!?

Nawaza TU,ni vema kama mngepata wasaa was kulitathmini taifa kama linajengeka au lah,CCM ni kama mtoto aliedekezwa sana na Sasa kafikia hatua ya kuwatukana wakubwa!!!
 
Haahaa
Haahaa mtungi Bado anapambana na chadema tu.Kwa sasa kupambana na chadema ni kupambana na mungu kwa kweli...
 
Huyu tungi bado hajitambui aisee yaani hataki kabisa historia imwandike akiwa upande wa haki,naona amejiapia kabisa afe upande walaana na dhuluma
 
Habari ya leo GT.
Rejea kichwa cha habari hapo juu, kama makao makuu ya CHADEMA MIKOCHENI yatatekwa na CMM&MSAJILI, napendekeza hatua ifuatayo ichukuliwe;

1: Chama ipitishe ofisi yoyote ya Mkoa hasa kwenye ngome zake iwe ndo makao makuu, Makao makuu siyo lazima yawe Dar es Salaam.

2: Chama ianzishe ujenzi wa makao makuu ya Chama hasa Dodoma, kwa michango ya wananchi, tuachane na makao makuu ya masimango(makao makuu ya ruzuku)
3.
4.
Nakaribusha maoni zaidi.
 
Huyo ng'ombe atulie, mabadiliko ya kuwa kibaraka? Abadilishe maisha yake. Mhuni km huyo nani amwachie nchi. Mwehu tu huyo
 
Watu wana taifa lao la Zanzibar sheeh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…