CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Huyu mzee Jaji Mutungi yuko zaidi ya miaka 70 hivyo anafanya ujinga huu ili aendelee kuhurumiwa kubaki ofisini.Solution ni haki tu itendeke, huyo huyo Mutungi kuna siku atataka kugombea au msaada kutoka chadema, nani alitegemea Lowassa au Summaye kuhamia chadema? Summaye si andiosema wapinzani ni magaidi
Kuna maisha baada ya kufa. Leo maalim seif na Jecha wote hawapo ktk dunia hii. Lipumba humjui duniani yupo akhera yupo, leo hata kuonana na waislam wenziwe anakimbia misiktini, cheo anacho lkn kinamsutaHuyu mzee Jaji Mutungi yuko zaidi ya miaka 70 hivyo anafanya ujinga huu ili aendelee kuhurumiwa kubaki ofisini.
Hakuna huo mkakatiSerikali ya CCM, Rais Samia kama kuna watu wanakushauri haya basi wanakupotosha sana.
Nafikiri hamjui kiu ya Watanzania kutaka mabadiliko. Kila hila mnazopanga na kufanya dhidi ya chama chetu mnakiimalisha zaidi.Sisi hatutawapigia magoti.
View attachment 3333988
Wanataka mpanic na kulokota mawe illi wapate sababu ya kufanya mauaji ya kutisha.Hivi hawa watu wanataka nini lakini? Machafuko?
Anatia aibu hata kumuita profesaLipumba style
Amepauka Hadi aibu
Chama ni wananchi sio Majengo ya ofisi
mna jeshi la kulinda hizo ofisi unafikiri wakiamua kuzichukua mtazuia na nini nyambafuSerikali ya CCM, Rais Samia kama kuna watu wanakushauri haya basi wanakupotosha sana.
Nafikiri hamjui kiu ya Watanzania kutaka mabadiliko. Kila hila mnazopanga na kufanya dhidi ya chama chetu mnakiimalisha zaidi.Sisi hatutawapigia magoti.
View attachment 3333988
Na historia itamtambua hivyo. Msaliti wa taifa hili.Ukisikiliza maelezo ya vibaraka wake wanayotoa kwenye press zaa kujitoa Chadema ndiyo utajua kuwa ni nani yuko nyuma ya G 55. Mbowe amekubali kushikiwa akili na Samia kwani hakuwa na mpango hata wa kugombea tena uenyekiti ila kwa ushawishi wa Mzanzibari akaingia kichwa kichwa na kuvuna aibu sasa zile hela alizopewa kwenye project ya kumzuia Lissu asiwe mwenyekiti wala mgombea urais ndiyo anazitafutia matumizi kwa staili hii.