PostGE2025 Heche: Mauaji ambayo mmefanya kwa Watanzania leo mnasema mtaongoza?Mnataka kumuongoza Nani? Mnazungumza maendeleo ya nini?

PostGE2025 Heche: Mauaji ambayo mmefanya kwa Watanzania leo mnasema mtaongoza?Mnataka kumuongoza Nani? Mnazungumza maendeleo ya nini?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Kwa ukatili kama huu na mauaji ambayo mmefanya kwa Watanzania leo mnasema mtaongoza?

Mnataka kumuongoza Nani? Mnazungumza eti maendeleo ya nini? Kwaajili ya nani kama mmeua watanzania na kuwatesa hivi?

Maji, umeme, Barabara au kitu chochote bila binadamu kuwepo vina maana gani?

Hili jeshi la polisi wanafundishwa nini huko kwenye vyuo vyao? Kuwa katili? Said Mwema kwenye kitabu chake aliandika kuhusu huu ukatili, Tume ya haki jinai ya Samia imeandika kwamba hili jeshi linapaswa kufumuliwa kwasababu lina element za kikoloni, baada ya haya nani tena anaweza kuwa na imani na jeshi hili? Nani anaweza kubisha.

Lazima tutabadili namna ya utendaji wa jeshi la polisi.

Madaraka ya damu hayatasimama kwenye Nchi yetu.

Duh hizi video kila siku mbona zinakuja mpya!! Zinazidi kutia hasira. Dah kuna mambo yanafanyika mpaka unajiuliza sisi ni binadamu au bado nyani!!

Mtu ushampiga risasi sasa mateke yote hayo ya nini. Cha ajabu mafisadi wanaowapambania wanajiongeza tu mapesa huku wao wakiendelea kupauka mitaani.
 
Kwakweli hili jeshi sio kabisa sielewi wanafanya haya yote ili iwe nini?
 
Aiseeee, nazuia machozii hapa huwezi kufanya ukatili tena kwa raia Armless (unarmed civilians)

Hata kama ni maelezo Mimi nisinge kua sehemu ya hiyo kazii kilicho fanywa ni CRIMES AGAINST HUMANITY..
 
Katiba mpya iondoe Police Forces iwe Police Services ,TISS wasijuisishe na siasa(Namaanisha wasiwe machawa wasisiemu) , Tume iwe huru kabisa na wala Rais asiteue mwenyekiti na zile Top Ranks ,wachaguliwe kwa mikataba ya miaka miwili miwili post and after election ,kiwe kitengo kinachojitegemea akiripoti kwa kiongozi wowote na uchaguzi uwe wazi vyombo vya habari viripoti live.
 
Back
Top Bottom