Heche: Mbunge analipwa per diem na allowance Tsh. 800,000 kwa siku, mshahara wa Tsh. 18 milioni kwa mwezi

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
2,317
Reaction score
7,808
Duh, kama ni ukweli basi tumekwisha, kuna vitu hapa Tanzania ni bora usivijue tu, maana ukivijua utapata pressure ya bure, imagine nchi maskini, Raia wanashindwa kuafford vitu vya msingi, lakini kuna mtu mmoja pale bungeni anakunja zaidi ya mamilion, bunge la budget ni siku 90, laki nane kwa siku 90, kwa watu waliopo mule ndani duh.

Ajabu pia sio Tanzania nchi zote za Africa hakuna unafuu wowote, hawa majamaa wanapata faida gani kwenye matumizi yote hayo kwa nchi maskini kama za Africa?

Kwa hizi privilege, aahaah kudadeki watu watatekwa sana aisee, yaani wanaoongea ili kukausha hii mirija lazima waone cha moto.
 
Duh, kama ni ukweli basi tumekwisha, kuna vitu hapa Tanzania ni bora usivijue tu, maana ukivijua utapata pressure ya bure, imagine nchi maskini, Raia wanashindwa kuafford vitu vya msingi, lakini kuna mtu mmoja pale bungeni anakunja zaidi ya mamilion, bunge la budget ni siku 90, laki nane kwa siku 90, kwa watu waliopo mule ndani duh.

Ajabu pia sio Tanzania nchi zote za Africa hakuna unafuu wowote, hawa majamaa wanapata faida gani kwenye matumizi yote hayo kwa nchi maskini kama za Africa?
Kila mtu na ridhiki lake
 
Faida ni kula Raha!
 
Aisee... nilijua ni laki tatu posho kwa siku kumbe..!

Hiyo mishahara na posho za wabunge zitaendelea kubaki hapo hapo hata kama tutawekewa vikwazo na Marekani na Ulaya.

Ajabu utasikia wale wabunge kule bungeni wakijidai kulalamikia vikwazo hawajapewa nafasi ya kujitetea, nasi tutawacheka tukiamini kweli wabunge wa CCM wanaogopa vikwazo vitawaumiza.

Kumbe wanatuzuga wale matapeli, wanajua maumivu ya vikwazo hayawezi kuwaumiza wao hata kidogo, maumivu yote ya vikwazo yataishia kwetu tunaowacheka wao!.
 
Aisee...

Hiyo mishahara na posho za wabunge zitaendelea kubaki hapo hapo hata kama tutawekewa vikwazo na Marekani na Ulaya.

Ajabu utasikia wale wabunge kule bungeni wakijidai kulalamikia vikwazo hawajapewa nafasi ya kujitetea, nasi tutawacheka tukiamini kweli wabunge wa CCM wanaogopa vikwazo vitawaumiza.
Mzigo wote unaenda kwa mwananchi, wao hataki kupunguza gharama zao za maisha, unategemea nini?
 
Kuna watu watahoji "mbona na yeye aliwahi kuwa mbunge kwa vipindi kadhaa! Aliwahi kupiligia kelele jambo hili?"

No matter what! Tukubaliane tu hii ni kufuru kwa nchi masikini na tegemezi kama hii ya kwetu.
 
Sasa wa Tanzania wanakiwa kuandama kuhusu suala
La pesa za wabunge ni wizi huo
 
Hamna hamna kwa mwezi mzima analamba 42+ millions.. aiseeee 🫪🫪
 
Kuna watu watahoji "mbona na yeye aliwahi kuwa mbunge kwa vipindi kadhaa! Aliwahi kupiligia kelele jambo hili?"

No matter what! Tukubaliane tu hii ni kufuru kwa nchi masikini na tegemezi kama hii ya kwetu.
Wakati ule haikuwa kiwango hicho.
 
Ubunge ni biashara inayololipa haraka sana ndiyo maana wanazuoni wanashindana kuingia pale.

Posho zishushwe
Elimu kuanzia degree
Siyo mtu hata mswada hajui maana yake.
 
Back
Top Bottom