The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
amesema chadema haipo tayari kwa siasa za janja janja inamaana msimamo wako upo kwenye siasa za janja janja ?ALIYEKUAMBIA MSIMAMO WA WANANCHI WOT NI HUO NI NANI? SPEED IMEISHA SASA HIVI MNAJMBAJAMBA TU
Naungana na chademaALIYEKUAMBIA MSIMAMO WA WANANCHI WOT NI HUO NI NANI? SPEED IMEISHA SASA HIVI MNAJMBAJAMBA TU
au hujawasikia hata hapa jf wakisema hivyo ?Waache kubadili gear angani ,yaani wanataka kuwabebesha mzigo wananchi
Ivi wananchi ndio walisema no reform no election ?
We unafikili kwanini wengi hawapigi kura?Waache kubadili gear angani ,yaani wanataka kuwabebesha mzigo wananchi
Ivi wananchi ndio walisema no reform no election ?
Nyie machawa acheni kuteka na kuua watu nyie takataka!ALIYEKUAMBIA MSIMAMO WA WANANCHI WOT NI HUO NI NANI? SPEED IMEISHA SASA HIVI
Unategemea ujanja ujanja ili ule wewe.Hakuna tena uhuni kwenye sanduku la kura lazima kura la raia ziheshimiwe.ALIYEKUAMBIA MSIMAMO WA WANANCHI WOT NI HUO NI NANI? SPEED IMEISHA SASA HIVI
Hapo unahaha kila dakika huu mwaka utamwaga utumboALIYEKUAMBIA MSIMAMO WA WANANCHI WOT NI HUO NI NANI? SPEED IMEISHA SASA HIVI
Kabisa Mkuu kuna mtu kitanda hakilaliki kavimba karibia kupasukaShikilia hapo hapo mzee babs.. Wanakaribia kutema bungo
Na atapasuka kweli Kama asipopasuliwaKabisa Mkuu kuna mtu kitanda hakilaliki kavimba karibia kupasuka
Cha ajabu,unawafuatilia kama ugali.ALIYEKUAMBIA MSIMAMO WA WANANCHI WOT NI HUO NI NANI? SPEED IMEISHA SASA HIVI