Heche siyo kiongozi mzuri…. Sasa kuwa housegirl na kupata ubunge ni shida ya susan au ahida ta chakandumuz kukosa pool ya eligible viongozi? Na kuishia kutuletea mabeki tatu?View attachment 3359393
Upinzani utachelewa sana kuchukua madaraka hii nchi, sijawahi sikia Heche akisema wakipata madaraka watafanya nini zaidi ya kukosoa, sasa Suzan Kiwanga kuhama chama imekuwa uadui?
Zaidi ya kesena kuwa boda boda watalipwa pensheni?Kwa hiyo wewe hujawahi kumsikia Heche akiongea chochote watachofanya Chadema wakipewa Nchi....!?
Hujawahi kusikiliza hotuba za Heche wewe.View attachment 3359393
Upinzani utachelewa sana kuchukua madaraka hii nchi, sijawahi sikia Heche akisema wakipata madaraka watafanya nini zaidi ya kukosoa, sasa Suzan Kiwanga kuhama chama imekuwa uadui?
Ukizingatia chama ambacho kinajinasibu kina wasomi, kimewacha wasomi kikaamua kumpa mtu ata shule hana ? hii mpya kweli kwa wasomi wa Chadema.Kama hakuwa na elimu ya kumfanya kuwa mbunge, kwann chadema ikampa nafasi ya kuwa mbunge?
Wewe ndiye taahira kabisaBwege tu, hana lolote
Ni kitu Gani Cha Uongo alichosema kuhusu huyo Mama ?Zaidi ya kesena kuwa boda boda watalipwa pensheni?
Na wao wanakitukana chama wakiwa majukwaani. Moto kwa moto ndio dawa.Pia HecheJohn akiwa Hai kwenye kikao cha ndani kamtukana sana Grace Kiwelu. Mbowe angekuwa mshamba kama hawa jamaa hicho chama kisingekuwepo. Wajaribu kuheshimu watu waliovuja jasho na damu kukijenga chama usiku na mchana.
No reform no election
Mbona kiwanga huko chauma ni adui wa chademaView attachment 3359393
Upinzani utachelewa sana kuchukua madaraka hii nchi, sijawahi sikia Heche akisema wakipata madaraka watafanya nini zaidi ya kukosoa, sasa Suzan Kiwanga kuhama chama imekuwa uadui?
Wewe ni Muongo.View attachment 3359393
Upinzani utachelewa sana kuchukua madaraka hii nchi, sijawahi sikia Heche akisema wakipata madaraka watafanya nini zaidi ya kukosoa, sasa Suzan Kiwanga kuhama chama imekuwa uadui?
Kwani ww hujui kwamba CHADEMA hakuna chawa yaani unajizima data makusudi,mpuuzi sana ww.CCM ndio mmeleta habari ya chawa,Wala hakuna aliyejua hayo.maisha yenu ya chawa ni ya kwenye chupi kaeni huko maana ninyi hamuwezi kujua ya wanadamu.Nikikuuliza ww chawa kwamba unajua kama kuna utekaji najua huwezi kunijibu kwa sababu ww sio binadamu ni mdudu.Wewe unakaa kwenye chupi ya Heche?
Tuwekee clip hapa.Kwa hiyo wewe hujawahi kumsikia Heche akiongea chochote watachofanya Chadema wakipewa Nchi....!?
Suzan Kiwanga kamtukana lini John Heche?Basi kama Hujawahi kuona wapinzami Wakisema watafanya Nini Wakichukua Nchi basi hujawahi Kusikiliza Hotuba Zao ila Unaangalia Zile Hotuba wanazojibu Kutokana na Matusi wanayotukanwa Jikite kwenye Kuangalia Hotiba Za Heche nyingi sana Ameelezea na Ameeleza kwa Umakini Kila Mara na Hata waziri wa Kilimo ndugu Bashe alichukua Hotuba ya Heche na Akatangaza Mabadiliko kwenye sekta Ya Kilimo Juzi bungeni Kipind cha Bajeti
Kiwanga aiombe radhi chadema piaView attachment 3359393
Upinzani utachelewa sana kuchukua madaraka hii nchi, sijawahi sikia Heche akisema wakipata madaraka watafanya nini zaidi ya kukosoa, sasa Suzan Kiwanga kuhama chama imekuwa uadui?
Kila siku Clip za Heche zinawekwa hapa.....! Sio kazi Yangu kukutafutia....!Tuwekee clip hapa.
View attachment 3359393
Upinzani utachelewa sana kuchukua madaraka hii nchi, sijawahi sikia Heche akisema wakipata madaraka watafanya nini zaidi ya kukosoa, sasa Suzan Kiwanga kuhama chama imekuwa uadui?