Heche Ni Muongo. Mafuta Yamepanda Dunia Nzima. Hayajapandishwa na Serikali wala wafanyabiashara

Hizo swala sio kupandisha

Kuna haja gani ya kubakisha kodi zinazoliwa na wachache
Hata wewe pamoja na promo zote hizi hadi macho yanakutokaa hata mia hutumia

Rejea report za CAG
Huwezi kuondoa kodi ghafla ghafla tu kwa kukurupuka bila Tathmini ya kina kiuchumi.
 
Muongo ni mama yako Samuya daktari feki anayesema bei ya mafuta Europe kwa liter 1 ni €6000 sawa na Tsh 18,000,000
 
Naomba utuletee riwaya zako kuweka sawa hizi kauli za Bi. Msumi
View: https://www.instagram.com/reel/DW3ocowjcHI/?igsh=MXNsbjR6cDJkcnZ4NA==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…