Heche Ni Muongo. Mafuta Yamepanda Dunia Nzima. Hayajapandishwa na Serikali wala wafanyabiashara

Heche Ni Muongo. Mafuta Yamepanda Dunia Nzima. Hayajapandishwa na Serikali wala wafanyabiashara

Sasa wewe Lukas upo kwa wenye Akili kweli ? Kuna mtu kakuambia una Akili? anayekuona una Akili atakuwa mwehu, Lukas ebu waonee huruma watanzania acha kujitoa fahamu kisa unasaka uteuzi kwa njia haramu
Acheni uzushi na uongo
 
Hujitambu wewe.
Heche anasema na anaomba Serikali ipunguze kodi au tozo zilizoko kwenye mafuta.
Kwani bei ya mafuta imejaa tozo au kodi nyingi ambayo kwa serikali inayojali maisha ya watu wake kwa kipindi kama hichi Serikali inachukua maumivu na kupunguza gharama na matumizi sehemu zingine n akuchukua hatua ya kupunguza tozo ili kutoa unafuu wa maisha ya watu wake.
Na sio kweli kila nchi mafuta yamepanda..! Nchi zingine serikali imechukua hatua kama hizo kupunguza tozo au kodi na bei iko kama zamana..
Tatizo lenu ni ushabiki tuu..!
Haya ni maisha na sio Simba na Yanga bro.
Bei ya mafuta ya Tanzania ni ndogo ukilinganisha na nchi nyingine nyingi sana. Kwa hiyo lazima upongeze juhudi za serikali. Na lazima ufahamu ya kuwa serikali inaendelea kufuatilia suala hilo kwa ukaribu sana
 
Hivi mna akili kweli ?
Wewe kwa sasa ulishapuuzwa . Wewe si ndiyo ulikuwa unawadanganya Watu na vihabari vyako vya uongo na uzushi? Wewe si ndiyo ulileta uzushi kubwa Mwamba wa Arusha amekufa kwa kulishwa sumu?
 
Ndugu zangu Watanzania,

John Heche Amedhihirisha ni kwanini CHADEMA imekosa Muelekeo kipindi hiki cha uongozi wake, Amethibitisha ni kwanini C
Cheki hili dubwasha

Kwa hiyo kwa jirani kukiwa na njaa

Na kwako pia kuwe na njaa na unafurahia bila shida yoyote kuna tumia akili.

KInachokosekana ni serikali kutopenda wananchi wake over.
Ingewapenda hizo kodi zaidi ya 18 zina faida gani wakati gharama za maisha zinapanda
Na kudhibitisha hili kumbuka 29
 
Cheki hili dubwasha

Kwa hiyo kwa jirani kukiwa na njaa

Na kwako pia kuwe na njaa na unafurahia bila shida yoyote kuna tumia akili.

KInachokosekana ni serikali kutopenda wananchi wake over.
Ingewapenda hizo kodi zaidi ya 18 zina faida gani wakati gharama za maisha zinapanda
Na kudhibitisha hili kumbuka 29
Ondoa hapa Ujinga wako hapa. Kwani serikali ndio imepandisha Bei ya Mafuta Duniani?
 
Ndugu zangu Watanzania,

John Heche Amedhihirisha ni kwanini CHADEMA imekosa Muelekeo kipindi hiki cha uongozi wake, Amethibitisha ni kwanini CHA
Fanyieni kazi uongo wake mlete majibu sahihi...
Boss wa EWURA alisema akiba ya mafuta ipo hadi June/July. Mkamtumbua bila sababu za msingi!

Swali la msingi; kwanini bei ziongezeke kwa akiba iliyokuwepo?

Kwenye kila Lita ya mafuta serikali imechomekea tozo za kila aina... Je, hamuoni kwamba ni wakati muafaka kufuta tozo husika?

Swali la mwisho: Zanzibar mafuta yameongezeka kwa shilingi ngapi?

WaTanganyika si wajinga!
 
Ndugu zangu Watanzania,

John Heche Amedhihirisha ni kwanini CHADEMA imekosa Muelekeo kipindi hiki cha uongozi wake, Amethibitisha ni kwanini CHADEMA imepuuzwa na yeye kudharauliwa hadi na wale anaowaongoza, imedhihirika ni kwanini wenye akili Timamu walikataa kuongozwa naye na kuamua kuondoka ndani ya CHADEMA.
Wafuasi wa ma-cartels
 
Back
Top Bottom