Heche Ni Muongo. Mafuta Yamepanda Dunia Nzima. Hayajapandishwa na Serikali wala wafanyabiashara

Heche Ni Muongo. Mafuta Yamepanda Dunia Nzima. Hayajapandishwa na Serikali wala wafanyabiashara

Wenye akili tumewaona kwenye deni la taifa
Nchi Gani isiyodaiwa.Huwezi kukopeshwa kama huna uwezo wa kulipa. Tunakopeshwa na siyo hisani na tunakopesheka kwa sababu tuna uwezo wa kulipa Madeni yetu.

Hakuna mwenye akili timamu anayeweza kumkopesha mtu anayejua kuwa hana uwezo wa kulipa Deni lake.
 
Nchi Gani isiyodaiwa.Huwezi kukopeshwa kama huna uwezo wa kulipa. Tunakopeshwa na siyo hisani na tunakopesheka kwa sababu tuna uwezo wa kulipa Madeni yetu.

Hakuna mwenye akili timamu anayeweza kumkopesha mtu anayejua kuwa hana uwezo wa kulipa Deni lake.


Ni kweli tumeona faida ya mikopo kwenye madaraja ya bilion 2,

Kibanda cha mlinzi cha bati milion 7 haha

Kweli mnakopa kwa matumizi bora
 

Attachments

  • Screenshot_20260406-224822_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20260406-224822_Samsung Internet.jpg
    218.5 KB · Views: 18
Ushabiki mwingine ni wa kipumbavu sana.mtu matoa hoja nzuri halafu wewe unaleta Ushabiki wa ukichaa.
 
Ushauri wa bure,

Endelea kububujwikwa na machozi ya furaha kwa Samia kupungia wananchi mkono au Bashite kuvaa jeans iliyomtoa shepu.

Huna upeo hata chembe wa kuweza kumjadili Heche. He is beyond you.
Heche is behind thousands of km not beyond someone
 
Ndugu zangu Watanzania,

John Heche Amedhihirisha ni kwanini CHADEMA imekosa Muelekeo kipindi hiki cha uongozi wake, Amethibitisha ni kwanini
Sasa mbona mmemfukuza kazi aliyetangaza bei mpya? Mlisema mafuta ya Akiba yapo yalikuja kwa bei ya zamani na yalikuwepo ndani ya shell mbalimbali sasa bei ikapanda wanauza kwa bei mpya kwa mzigo wa zamani, Lukas hata kama unasaka Uteuzi ebu jaribu kuwa na hofu ya mungu kidogo usijitoe ufahamu kwa kiwango hicho
 
Acheni uzushi , uongo na uchonganishi hapa. Watanzania siyo wajinga kama mlivyo ninyi.
Usiwasemee watanzania kwani siyo wapumbavu kama wewe msaka nyoka hata kama ni uchawa sasa huu wako umezidi kiwango, mafuta yalikuwepo Akiba leo unataka kuuza kwa bei mpya mafuta ya zamani kweli? hata kama unasaka uteuzi Usijitoe fahamu kwa kiwango hiki
 
We ni mjinga mmoja usiye elewa kitu, unakurupuka kujibu mambo yaliyo juu ya fikra na uwezo wako kiakili, mambo unayoweza ni kusifia ujinga ujinga kwenye issue clitical kama hizi acha kutia mkuu si za level zako, nije kwenye Mada;

Ni kweli kabisa kwamba suala la bei ya mafuta ni la kimataifa na limeathiri masoko ya dunia nzima kutokana na sababu kama migogoro ya kisiasa na hasa vita Baina ya USA Vs Iran, uzalishaji na mwenendo wa uchumi wa dunia.

Pamoja na ukweli huo, bado kuna nafasi ya hatua za ndani ambazo zinaweza kuchukuliwa kupunguza athari kwa wananchi.

Bei ya mafuta nchini Kwenye Vituo vya mafuta haijumuishi gharama ya kununua kutoka soko la dunia FOB& CIF lkn pia inabeba mzigo wa kodi na tozo mbalimbali kama Fuel Levy, VAT, tozo za EWURA, michango ya REA, Railway Development Levy na nyinginezo.

Katika kipindi hiki cha kupanda kwa bei, si lazima tozo zote ziendelee kubaki kama zilivyo; baadhi zinaweza kupunguzwa au kusitishwa kwa muda ili kutoa unafuu kwa wananchi. Hatua kama hizi zinaweza kusaidia kupunguza mfumuko wa bei, kushusha gharama za usafiri na hatimaye kupunguza gharama za maisha kwa ujumla. Kwa hiyo, ingawa chanzo cha tatizo ni la kimataifa, suluhisho la kupunguza athari zake kwa wananchi linaweza na linapaswa kuanza ndani ya nchi kupitia sera rafiki za kodi na tozo.
Lukas ana mtindio wa ubongo siyo mzima
 
Nchi Gani isiyodaiwa.Huwezi kukopeshwa kama huna uwezo wa kulipa. Tunakopeshwa na siyo hisani na tunakopesheka kwa sababu tuna uwezo wa kulipa Madeni yetu.

Hakuna mwenye akili timamu anayeweza kumkopesha mtu anayejua kuwa hana uwezo wa kulipa Deni lake.
Sasa wewe Lukas upo kwa wenye Akili kweli ? Kuna mtu kakuambia una Akili? anayekuona una Akili atakuwa mwehu, Lukas ebu waonee huruma watanzania acha kujitoa fahamu kisa unasaka uteuzi kwa njia haramu
 
Serikali wanatafuta ufumbuzi wa tatizo ndiyo maana wamemtumbua aliyetangaza bei mpya cha ajabu Lukas kaja na yake ya kusaka uteuzi badala atoe mtizamo chanya wa kulikabili janga la kupanda bei ya mafuta
 
Lukas ushauri wa bure zipo meli nyingi za mafuta ya Urusi china India Nigeria Angala libya huko baharini ongea nao wana mafuta ya bei nafuu hapo utaonekana mtu wa maana kuliko kukaa kupanga kuwaumiza watu kisa wametoa kilio chao
 
Ndugu zangu Watanzania,

John Heche Amedhihirisha ni kwanini CHADEMA imekosa Muelekeo kipindi hiki cha uongozi wake, Amethibitisha ni kwanini
Hujitambu wewe.
Heche anasema na anaomba Serikali ipunguze kodi au tozo zilizoko kwenye mafuta.
Kwani bei ya mafuta imejaa tozo au kodi nyingi ambayo kwa serikali inayojali maisha ya watu wake kwa kipindi kama hichi Serikali inachukua maumivu na kupunguza gharama na matumizi sehemu zingine n akuchukua hatua ya kupunguza tozo ili kutoa unafuu wa maisha ya watu wake.
Na sio kweli kila nchi mafuta yamepanda..! Nchi zingine serikali imechukua hatua kama hizo kupunguza tozo au kodi na bei iko kama zamana..
Tatizo lenu ni ushabiki tuu..!
Haya ni maisha na sio Simba na Yanga bro.
 
Back
Top Bottom