PreGE2025 Heche: Nimepata taarifa kuwa kuna mpango wa kunikamata wakati wowote kuanzia sasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Unataka maridhiano ya nini wakati Rais wako na chama chako Hawataki Uchaguzi wa kweli na maridhiano ya kweli.
 
Upendo upi? Wakati mnawatuma Polisiccm kuwaonea wapinzani
Pure agape gentleman,

dhana na imani potofu kama hizo ni kitu mbaya sana gentleman kung'ang'ana nazo πŸ’
 
Unataka maridhiano ya nini wakati Rais wako na chama chako Hawataki Uchaguzi wa kweli na maridhiano ya kweli.
una uhakika kweli?maboresho yalifanyika kule bungeni .sasa wewe unataka marekebisho mengine yepi na wakati muda umeisha ? kwanza ni dharau kubwa kwa MBOWE.mlisubili TL awe mweneyekiti ndo muanze nyimbo zenu za unyumbu wa no reform no elections
 
h
Safari hii lazma waage Tu hakuna namna wananchi wameamua mabadiliko
ivi mna akili timamu kweli ? waage wamuachie nani wakati chadema wameshaweka mpira kwapani yaaani mnajizima data kabisa hamjui kama chadema hawashiriki uchaguzi? hamna akili nyie mna matope kichwani
 
Watushike wote, asiishie kwa viongozi wetu tu
 
Nilikuwa na kuchukia bonge la adija kopa kumbe zuchu
Kama mliweza kumtukana mwenyekiti wenu wa miaka 21 amabo wengi mlijiunga chadomo katika kipindi chake, hakuna aliye salama kwa matusi yenu.
 
una uhakika kweli?maboresho yalifanyika kule bungeni .sasa wewe unataka marekebisho mengine yepi na wakati muda umeisha ? kwanza ni dharau kubwa kwa MBOWE.mlisubili TL awe mweneyekiti ndo muanze nyimbo zenu za unyumbu wa no reform no elections
Bunge lipi???Hili hili lenye wabunge feki 19??? Au jingine.
 
Wacha ukamatwe, kama umevunja sheria za nchi usikamatwe wewe nani? hakuna aliye juu ya sheria. Ukivunja sheria za nchi utashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.
 
Gentleman,
hayupo wa kuhangaika na mtu mropkaji kama heche aliefilisika pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti na anaishi kwa wazazi wake na utu uzima wake πŸ’
Heche anaeleza ukweli na amesoma vya kutosha kuliko hao CCM wenu wabakaji wa democracy. Kama mna ubavu nendeni kwenye kura za haki muone nani anapendwa nchi hii. Mnalazimisha watu wawapende wakati hakuna anayewapenda mbwa ninyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…