The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
So issue ni time ya kusema? Walioko bungeni kwa sasa kuna ambae amesema?Ni unafiki kutomjua mnafiki. Jibu swali tokea lini Heche alikataa posho akiwa mbunge.Ni rahisi kusema kwamba kiatu hakibani kikiwa kwenye mguu wa mwingine.
Heche angesema hili alilosema akiwa mbunge na kuwa mfano wa kukataa posho.
Pamoja na kwamba posho hizo ni kubwa na zinatakiwa kufanyiwa review lakini Heche hana moral authority ya kuzungumzia swala hili kwani yeye amepata faida kubwa kwenye huu mfumo akiwa mbunge.
Kwa hiyo ndiyo mjilipe pesa zote hizo,afu walimu ambao ndiyo wenye impact kubwa katika jamii kuliko hawo wabunge mnawanyonga hivyo.Mliambiwa hawa ni wanaharakasti hamuelewi..
Kwenye office , Head of Sales analipwa Mil 18, na dereva analipwa laki 3 , hapo kuna unyonyaji mmoja ampunguzie mwingine?
Nilifikiri kwa mtu mwenye hadhi yake angeongelea Muundo wa Bunge na namna gani wanaweza punguza vikao na safari zisizo na tija yeye analinganisha mishahara?
Duniani kote watu wanalipwa kutokana na Value na Impact anayoweza sababisha kwenye jamii..
Kalangabhao
With due respect angeenda a step further na kukataa kupokea kama solidarity na wengine wenye kipato cha chini.Hii huwa inafanyika kwa wanaoamini wanachokipigania sio maneno matupu.Alilalamikia sana hiyo tofauti ya mapato hata akiwa bungeni. Ila chama pendwa kiliweka pamba masikioni.
Amandla...
Hilo sio tatizo kama lakini 3 inamtosha kukimu maisha yake. Ila kama hazitoshi ujue atafanya kila njia kujiongezea kipato hata kama ni kuiba matairi na petroli. Kama zinamtosha kulipia makazi yake, kumlisha yeye na familia yake, kusomesha watoto, kulipia gharama za hospitali inapobidi n.k. hatakuwa na tatizo akiona Bosi wake analipwa milioni 18. Na huyo Bosi atakuwa anatakiwa kila mara kumthibitishia muajiri wake kuwa anastahili mshahara huo. Hiyo ni tofauti na wabunge ambao wengi hawachangii lolote katika kuisimamia serikali na kulinda maslahi ya waliomchagua.Mliambiwa hawa ni wanaharakasti hamuelewi..
Kwenye office , Head of Sales analipwa Mil 18, na dereva analipwa laki 3 , hapo kuna unyonyaji mmoja ampunguzie mwingine?
Nilifikiri kwa mtu mwenye hadhi yake angeongelea Muundo wa Bunge na namna gani wanaweza punguza vikao na safari zisizo na tija yeye analinganisha mishahara?
Duniani kote watu wanalipwa kutokana na Value na Impact anayoweza sababisha kwenye jamii..
Kalangabhao
Ajibiwe hoja gani? Kama Mwalimu analipwa kidogo kwanini hamwachishi mkewe kazi ya ualimu?Heche ajibiwe na chama kwa weledi
Hawana pia moral authority ya kusema kwa sababu ndio mfumo unaowafaidisha.Sio kusema tu bali ni kuonyesha solidarity kwa kutopokea hiyo posho sio maneno matupu.So issue ni time ya kusema? Walioko bungeni kwa sasa kuna ambae amesema?
Mtumishi wa umma hawezi kukataa mshahara na posho zake anazostahili. Atalipwa tu stahili yako hata aseme nini. Njia pekee ya kuzuia kulipwa ni kuacha kazi. Anachoweza kufanya ni kuupokea na kuutumia kuwahudumia wananchi wenzake na kuendelea kupiga kelele.With due respect angeenda a step further na kukataa kupokea kama solidarity na wengine wenye kipato cha chini.Hii huwa inafanyika kwa wanaoamini wanachokipigania sio maneno matupu.
Hakika mkuu, na hapo ujaongeza BIMA Bure ya afya na Milioni 250 Kila baada ya 5 yearsJiulize mtu analipwa 570,000 bunge la budget x siku 90 = 51,300,000 nje na mishahara mitatu 18M x 3 = 54,000,000 jumla 105,300,000 ndani ya miezi 3, hapo ni nje na rushwa + ziara za kamati. Hawa ni wanyonyaji wakubwa
Haya ni majangili ya mali za ummaHakika mkuu, na hapo ujaongeza BIMA Bure ya afya na Milioni 250 Kila baada ya 5 years
Hakika mkuuHaya ni majangili ya mali za umma
Tuyakatae kabisaHakika mkuu
Wewe ndio mnafiki na Hujitambui!Mnafiki tu huyu.Angelalamika kwamba posho ni kubwa ipunguzwe akiwa mjengoni angekuwa na credibility. Kuwa nje ya mjengo halafu ulalamike ni unafiki tu na hadaa.
Upo sahihi kiasiHilo sio tatizo kama lakini 3 inamtosha kukimu maisha yake. Ila kama hazitoshi ujue atafanya kila njia kujiongezea kipato hata kama ni kuiba matairi na petroli. Kama zinamtosha kulipia makazi yake, kumlisha yeye na familia yake, kusomesha watoto, kulipia gharama za hospitali inapobidi n.k. hatakuwa na tatizo akiona Bosi wake analipwa milioni 18. Na huyo Bosi atakuwa anatakiwa kila mara kumthibitishia muajiri wake kuwa anastahili mshahara huo. Hiyo ni tofauti na wabunge ambao wengi hawachangii lolote katika kuisimamia serikali na kulinda maslahi ya waliomchagua.
Amandla...
Kosa moja halihalalishi jingine.Mnafiki tu huyu.Angelalamika kwamba posho ni kubwa ipunguzwe akiwa mjengoni angekuwa na credibility. Kuwa nje ya mjengo halafu ulalamike ni unafiki tu na hadaa.
HakikaTuyakatae kabisa
lakini mbona alifilisika kwa haraka na kirahisi sana huyu muungwana?"Sisi posho siku moja tu bungeni tulikuwa tunalipwa laki nne, halafu Mwalimu kwa mwezi unamlipa laki 4"
Soma, Pia: John Heche: Mbunge analipwa Milioni 20 kwa mwezi na posho ya laki 6 kwa siku. Nchi hii inaibiwa sana!
Mkuu laiti ungejua kuwa walimu kwa ujumla wao ni rahisi sana ku replace, na hapo ndipo panapotofautisha Value, Impact na Uwezo wa mwajiri kupata mwingine mwenye aina yako.Kwa hiyo ndiyo mjilipe pesa zote hizo,afu walimu ambao ndiyo wenye impact kubwa katika jamii kuliko hawo wabunge mnawanyonga hivyo.