Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Hakuna anaeombea ila vyombo vya ulinzi na usalama hauoni vimemshika muhadhiri wa udom na mwingine yupo huko kaskazini kwa makosa ya ugaidi sasa unadhani wapo hao tu? Bila shaka magaidi wapo wengi mno hauoni hata serikali wamezuia mikutano ya vyama vya siasa kwasababu Kuna matishio hayo?
 
Mwaga mboga sisi ugali ,moto na maji tunasaza unga pekee,hata masufuria tunatoboa.
 
Hakika mikusanyiko ya watu kama hiyo ya AFCON haifai kuwepo kutokana na tishio la ugaidi kama ambavyo imeelezwa na serikali. Pia tumesikia kule UDOM kuna lecturer gaidi. Hii ni mbaya sana maana hata mkuu wa muhimili mzizi anaweza kuwa gaidi, AFCON waishie Kirithi na Kirinyaga kwenye amani na usalama wa uhakika.
 
Hivi ni kweli Heche hajui kwamba AFCON ikifanyika TZ wanufaika wakubwa ni vijana wa CHADEMA walioko Arusha ambako ni ngome ya CDM!?
Arusha imekuwa ngome ya chadema wakati vcccccm imeshinda viti vyote tangu uchaguzi wa serikali ya mitaa 2019 hadi leo sasa unaitaje ngome ya chadema?una akili timamu wewe?
 
Safi sana ngoja dunia ijue na AFCON isifanyike
 
Hivi ni kweli Heche hajui kwamba AFCON ikifanyika TZ wanufaika wakubwa ni vijana wa CHADEMA walioko Arusha ambako ni ngome ya CDM!?
Please keep distance from politics, wanasiasa wanajuana wenyewe.
Wewe umesoma alichokiandika lakini yeye huenda hana maana hiyo, huenda anamshangaa anayekata tawi alilolikalia mtini, je, atashituka na kujirudi au ndiyo mbele kwa mbele.
 
Hivi wewe una akili timamu? Anayesema kuna ugaidi ni nani? Acha ujinga wewe
 
24 July 2026
Dodoma, Tanzania

JE KUNA TISHIO DHAHIRI LA UGAIDI - SIKU YA MASHUJAA ENEO TUKIO DODOMA LACHOMWA MOTO- HOFU NI NINI - VYOMBO VYA USALAMA


View: https://m.youtube.com/watch?v=eJCqQWJ7fOA
Katika hali ya kushangaza jijini Dodoma vyombo vilishiriki zoezi la kuchoma majani na vichaka vyote kabla ya Samia Hassan na Emmanuel Nchimbi kufika eneo la tukio la Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa 2026. Maeneo kibao yameonekana yakiwa meusi na majivu kutokana na mioto iliyowashwa na vyombo vya usalama

Video hii imezua maswali mengi kuhusu hali ya usalama nchini Tanzania huku serikali haramu ya Samia ikipiga kelele kuhusu uwepo wa ugaidi nchini Tanzania
 
Kuna kesi zaidi ya 30 za ugaidi, kuna magaidi zaidi ya 30 wanashikiliwa na vyombo vya ulinzi na usalama.

Waambie hao waliofungua kesi za ugaidi wathibitishe.

Wakala wa kampuni yangu ya utalii aliyepo US amenitahadharisha kuhusu kuongelewa sana kwa ugaidi hapa nchini.

Vyombo vya kijasusi na kiusalama vya US wakichukulia tu serious huu ugaidi wetu, utalii utaanguka kwa kiwango kikubwa sana.

Sasa mwambieni mama yenu aendelee na "ugaidi " wa "kugaidisha" kila asiye upande wake, ataona manufaa yake mapema.
 
Jombaa,Mwanza watu kumi na tatu kama sio kumi na nne wamepandishwa kizimbani kwa kesi za ugaidi.Dodoma mkufunzi wa chuo kesi hiyo hiyo ya ugaidi.Sasa unataka mtu a prove nini kama sio kwamba serikali yenyewe ndio inajichanganya.Hakina Niffer na wenzake walikuwa na kesi gani kama sio ugaidi.

Yule sheikh Mwaipopo na hotuba zake anakuwa anazungumzia nini kama sio ugaidi.Tundulissu kesi yake ni sawa na tuhuma za ugaidi maana uhaini na ugaidi ni mzazi na mtoto wake
 
Hivi ni kweli Heche hajui kwamba AFCON ikifanyika TZ wanufaika wakubwa ni vijana wa CHADEMA walioko Arusha ambako ni ngome ya CDM!?
Kumbe kule Arusha, Chadema wana resorts na wana miliki baadhi ya vivutio vya utalii.

Sikuwahi kuijua hii. Ama kweli hiyo kampeni itaenda kuwakosesha mapato mengi sana vijana pamoja na chama kwa ujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…