MONEY IS NOT EVERYTHING
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 2,242
- 3,161
NDO MAANA NASEMA KAMA MMESHINDWA KUKAA MEZANI. KWANINI TUSIVIFUTE HIVYO VYAMA VYENU? KWASABABU MMESHINDWA KUWATUMIKIA WANANCHI BADALA YAKE MNAWAUMIZA KWA MASLAHI YENU BINAFSI YA MADARAKA.Kukiwa na ugaidi ni kitu gani kinachokwenda sawa? Makosa wafanye ccm malalamiko wapewe chadema.
Futa uonje Nguvu ya Umma!KAMA MMEAMUA KUKOMOA KWA MASLAHI YENU. KWANINI TUSIVIFUTE HIVO VYAMA VYENU? AFCON WATU WATAFANYA BIASHARA WATAJIPATIA RIZIKI NA MAMBO KADHA WA KADHA HAMUONI MNAWANYIMA WANANCHI WENU FULSA? KWANI NYIE MPO KWA AJILI YA KINA NANI? UGOMVI WENU HAUPASWI KUATHIRI WANANCHI WENU.
Kakutwa na hatia?Huko kuita mpakavwahadhiri , Magaidi sio mwanzo wa machufuko?
Kushtakiwa ndio mwanzo wa kukutwa na Hatia!Amri Toka juu, possibly kukutwa na Hatia ya mchongo.Kakutwa na hatia?
Chadema wakae mezani wamekosea wapi wanapohitaji kurekebisha?NDO MAANA NASEMA KAMA MMESHINDWA KUKAA MEZANI. KWANINI TUSIVIFUTE HIVYO VYAMA VYENU? KWASABABU MMESHINDWA KUWATUMIKIA WANANCHI BADALA YAKE MNAWAUMIZA KWA MASLAHI YENU BINAFSI YA MADARAKA.
KAENI MEZA MOJA MUYAJENGE MUACHE VIBURI HII NCHI SIO YA CHADEMA WALA CCM PEKE YAO.Kwani wewe huamini kama Kuna magaidi nchini?
Sasa kama hawakusema kwanini wengine ambao wapenda michezo wahusishwe?Wanaoweza kuthibitisha ni chadema au ccm wenyewe? ni lini wanachi walisema kuna magaidi.
Ni mtu anachoomba ndicho ananchopewa wacha walinywe kwa vile wamelikoroga.
Kushtakiwa ni kutuhumiwa tu, unaweza kukutwa na hatia au usikutwe nayo ukashinda kesi.Kushtakiwa ndio mwanzo wa kukutwa na Hatia!Amri Toka juu, possibly kukutwa na Hatia ya mchongo.
Ni national threat tayari...kwani mnaweweseka nini? Si mmesema kuna magaidi na mmeyakamata? Sasa mnaogopa nini AFCON wakiambiwa kuhusu hilo ili watu wasije wawe salama?Haijafikia hatua yakuwa nation threat hizo kesi. Hata nchi wenyeji wa kombe la dunia zipo za kutosha ila bado michuano ilichezeshwa
Waziri wa mipira duniani kote ni wanasiasaMpira na siasa zenu wapi na wapi, upumbavu huu mnataka kutuletea
HIVI UNAPOANDIKA UPUUZI WA KUWAAMBIA FIFA NA CAF IWAAPO WAKACHULIA SERIOUS HUONI MTAKUWA MMEWANYIMA WANANCHI FULSA YA KIBIASHARA NA HUKU MKIFURAHIA SERIKALI KUKOSA MAPATO? HALAFU MNAJIVIKA KILEMBA CHA UZALENDO NA KUWATUMIKIA WANANCHI?Chadema wakae mezani wamekosea wapi wanapohitaji kurekebisha?
Chadema wanapaswa kuwatumikia wananchi ndio wanaokusanya kodi?
Ni lini Chadema walioumiza wananchi?
MKIENDELEA HIVO, TUTAVIFUTA KWELI MAANA KATIBA IJAYO ITAWAPA MAMLA WANANCHI..TUKIONA CHAMA A na CHAMA B VINAGOMBANIA MASLAHI YAO HUKU VIKILETA ATHARI KUBWA KWA WANANCHI TUNAUWEZO WA KUVISIMAMISHA KWA MUDA AU KUVIFUTA KABISA.Futa uonje Nguvu ya Umma!
Ngome ya Chadema ni kwenye mioyo ya Watanganyika wote wanaojitambua.Hivi ni kweli Heche hajui kwamba AFCON ikifanyika TZ wanufaika wakubwa ni vijana wa CHADEMA walioko Arusha ambako ni ngome ya CDM!?
Wale waliobambikwa kesi za uongo za ugaidi unawaambia nini?HECHE UNAFAIDIKA NA NINI? MBONA MAMBO YA KITOTO SANA.
Hakuna waziri wa mpira kuna waziri wa michezo na hata wakiwa wanasiasa bado hairuhusu kuhusisha hikoWaziri wa mipira duniani kote ni wanasiasa
Wewe huoni kama serikali imelichukulia serious swala la ugaidi hadi wakaamua kuwasaka magaidi na wamefanikiwa kuwakamata.HIVI UNAPOANDIKA UPUUZI WA KUWAAMBIA FIFA NA CAF IWAAPO WAKACHULIA SERIOUS HUONI MTAKUWA MMEWANYIMA WANANCHI FULSA YA KIBIASHARA NA HUKU MKIFURAHIA SERIKALI KUKOSA MAPATO? HALAFU MNAJIVIKA KILEMBA CHA UZALENDO NA KUWATUMIKIA WANANCHI?
CCM na CHADEMA kaeni mezani acheni viburi lazima tulijenge taifa kwa pamoja.Wale waliobambikwa kesi za uongo za ugaidi unawaambia nini?