Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

unadhani hao FIFA na CAF hawana mabalozi? CHADEMA kuna mambo mnachemka japo na CCM inamakosa yake..Hebu kaeni Mezani muyamalize..KATIBA IJAYO SISI WANANCHI HATUTAVUMILIA HUU UPUUZI MAANA MAMLAKA YOTE TUTAKUWA NAYO.
 
Acha uoga dogo. Pesa inatafutwa hata burudi. Kinuke tu
 
unadhani hao FIFA na CAF hawana mabalozi? CHADEMA kuna mambo mnachemka japo na CCM inamakosa yake..Hebu kaeni Mezani muyamalize..KATIBA IJAYO SISI WANANCHI HATUTAVUMILIA HUU UPUUZI MAANA MAMLAKA YOTE TUTAKUWA NAYO.
Samahani mkuu binafsi mimi siyo mfuasi wa chama chochote ila ni mpenda haki na usawa tu.
Kama wana mabalozi ndio itakuwa jambo jema zaidi,watasaidia kuiambia dunia wakishirikiana na serikali ya Tanzania kwamba nchi haipo kwa sababu tumewakamata magaidi kadhaa.
 
Wale waliotekwa Wana amani IPO?
 
Sasa kama hawakusema kwanini wengine ambao wapenda michezo wahusishwe?

Hii michuano italeta ulaji na fursa nyingi sana kwa wengine. Hapa sikuharibia watu mambo kisa ubinsfsi wao kisiasa
Hili swala la ugaidi anaelitangaza na kulifanyia kazi ni ccm na serikali yake. Kama ni hivyo wacha watu waelezwe kuwa kuna ugaidi ili wageni wawe na tahadhari.
 
CHADEMA hapaswi kufanya hivo..
 
HIVI UNAPOANDIKA UPUUZI WA KUWAAMBIA FIFA NA CAF IWAAPO WAKACHULIA SERIOUS HUONI MTAKUWA MMEWANYIMA WANANCHI FULSA YA KIBIASHARA NA HUKU MKIFURAHIA SERIKALI KUKOSA MAPATO? HALAFU MNAJIVIKA KILEMBA CHA UZALENDO NA KUWATUMIKIA WANANCHI?

Serikali inayokamata watu na kuwafungulia mashitaka ya ugani lengo lake nini? Fursa zinazotozwa na ccm wenyewe kwakukosa akili.

Inachofanya ni kuwakomoa chadema sasa kama ni hivyo wacha tu dunia ijue kama Tanzania kuna ugaidi.
 
Heche endeleeni na siasa zenu na hao chichiem siyo wote tunapenda siasa wengine furaha yetu ni mpira km mmeshindwana kwenye siasa basi mtulie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…