Hekalu la Job Ndugai kweli siasa inalipa, nimejiona masikini kweli

Nimeona hiyo Nyumba ni hatari kwakweli achili mbali hekalu lake la kule Mbweni na Kinyerezi .

The guy was richest and wealthiest
Na bado alikua anautaka ubunge ๐Ÿ˜† acha wauwane siasa inalipa.
 
Mafanikio ya kweli sio hayo ndo maana unaona wanawindana kama wapo porini .
Hakika, ila kila mtu ana namna yake anatafsiri maendeleo, kwako huenda ni "do good to humanity", kwake huenda ni "account na mijengo + power and fame"
 
Hakika, ila kila mtu ana namna yake anatafsiri maendeleo, kwako huenda ni "do good to humanity", kwake huenda ni "account na mijengo + power and fame"
Upo sahihi nadhani hiyo tunayo Sana sisi black .

Hatujiwekei misingi bora ya kkuyatafsiri mafanikio.

Binafsi nikiwa nimeshakuwa Bilionea kinachobaki ni Ku-give back to community.
 
Ni wakati sasa wa kugombania kila kilichomo ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ