Heko, Rais kipenzi cha watanzania, tabasamu larejea Ngorongoro, lakini...!

yaani kwamba wanadamu wote hawa nawalilia kubaki ngorongoro waishi pamoja na wanyama na kuna mtu anashangilia? miaka 20 ijayo bado patakuwa na ngorongoro hapo?
Vichwa visivyo na ubongo wa kutafakari juu ya kesho! / we are going to lost!.. Kisa wanaharakati & chadema na wapiga kura wao!, Napinga mpaka kesho!
 
kwa idadi hii kubwa ya wamasai ni dhahiri hifadhi ya ngorongoro iko hatarini kutoweka, tuulizane wote tufute ngorongoro wamasai tuwagawie mashamba?
 
Attachments

  • GVrykxHWYAAn1K5.jpeg
    GVrykxHWYAAn1K5.jpeg
    62.6 KB · Views: 2
Au ni kwa sababu hatujazoea kuona Watanzania wenye ujasiri vile ndio tunahisi hawa ni Wakenya??
 
tatizo sio misimamo yao, ni tunahitaji kulinda ngorongoro au hapana, kama ni hapana tufute hidhali ya ngorongoro tuwagawie mashamba walime kama tulivyifuta hufadhi za bukombe bukoli kazuramimba, kama tulivyofuta hifadhi za vijiji,
 
⤵⬇ Nimekupata!, wingi wao mbugani unauridhia? Kuna jambo (?).

-human activities hasa wanapokuwa wengi huku wakizidi kuzaliana, out come yake unaifahamu?

-hotel by nature, huchukuwa eneo dogo lisilozidi ekari 2, na kisheria hujengwa pembeni mwa mbuga, ili kutosturb wanyama, pia study hufanyika ili kutoingilia hata njia/mapito ya wanyama.

-Pamoja na yote haya ni busara sana kutengeneza fair situation, kwa kutowaingilia sana wanyama na mazingira yao, tunayo ardhi kubwa sana nzuri kwa binadamu kujistawisha, busara zitumike, ili wamasai wasiwe wengi kupita wanyama kwenye ardhi ya wanyama.

-Tusiache kuwapongeza masai kwani ni watu wanaojua sana kujioganise na kufanya lile wanalolikusudia, hivyo tusijiulize wamefikaje ngorongoro Na kujazana.
Hotels zinajengwa walipo wanyama na sio hotel tuu
Kuna camps zinazopokea wageni wengi zaid zinahama mara kwa mara kusogelea wanyama walipo
Tembelea mbuga zetu mara moja hapo serengeti na ngorongoro
Ukirud tutaongea lugha moja
Pia kuna wageni wanakuja kufanya italic wa watu wanakuja kuexperience maisha wanayoishi wamasai porin pamoja na wanyama
Wakwanza ni billgates
Huyu tajir hakuja Kushangaa wanyama
Alikuja kwajili ya wamasai na jamii za watu wakufanana na hao
pia wamasai kabla hata serikali haijaanza kuwasumbua wao wenyewe walishaanza kujigawa
Saiv wamasai wapo mikoa yote
Hata mikoa ya kusini wapo
Wameingia hata mozambique
Asili ya wafungaji wakimasai ni yakuhama hama
Hawajikusanyi sehem moja kamwe
Na wamasai wapo mbuga zote kwa wingi
Wapo ngorongoro
Wapo seulo
Wapo serengeti
Kila penye majani yabure wamasai wapo
Kwann usiseme waondolewe waliopo serengeti
Unakazania ngorongoro…??
Kwasababu ngorongoro kushauzwa si ndio
Na unaemwambia afukuze wamasai waTanganyika kwao
Yeye anakitambulisho cha mkazi Zanzibar
Awafukuze wenye kitambulisho cha Nida

Mnamtafutia mama samia ajali mbaya yakisiasa na kuuvunja muungano
Nyie wenyewe
Action za mama samia ndio zitakazouvunja muungano
 
Tupunguze uchawa kwenye maisha ya watu. Mada zako nyingi ni za uchochezi ila ujue umeshafahamika nia yako ovu dhidi ya wengine. Na wewe inawezekana ni wa Burundi au Msumbiji.
Mijitu mipumbavu kama hili litoa mada sijui yana exist kwa nini.
 
°Operation ya kuwatambua ianze, mara moja, nina mashaka kama kweli masai hawa wote ni wa tanzania, Niliwahi kutana na mmasai pahala fulani, katika kuongea nae, akaniambia yeye ni masai ya Kenya na akanionyesha kipande yake! / umakini na angalizo isije ikawa kwa umasai wao wakawa na Id za mataifa yote mawili, wanapiga kura Kenya alkadhalika wakapiga kura tanzania!

°Idadi ya masai mbugani ni kubwa mno, serekali yetu ingetafuta namna ya kupunguza wingi wao kwani ni hatari kwa Ekolojia ya ngorongoro!

°Aidha eneo la hifadhi ya Ngorongoro liwekewe mipaka kutenganisha na vijiji vya masai, na mbuga hizo ziwe zinatumika kwa malisho pekee ya mifugo na si kuongeza vibanda kila uchao!,
Wakati akili kubwa Kenya, vijana wake wapo huko duniani wakiitawala dunia na kushinda medali za, dhahabu kwenye Olympic, vijana wa TZ, wapo kizimkazi, wakitikisa makalio, na kiongozi, wao, academic retarded, Doto magari!
Vijana wa TZ ni mazwazwa kabisa, yanatumika, lakini hayaoni
 
Kenya phobia /addicted,
 
Mijitu mipumbavu kama hili litoa mada sijui yana exist kwa nini.
Mazingira ni lazima yalindwe, ikibidi kwa mabavu, hapo tutampendeza hata muumba, nieleweke simaanishi masai waondolewe wote hapana, bali tuwe na Proportionality, kati ya wanyama na binadamu, binadamu wasizidi idadi ya wanyama mbugani naomba nieleweke vyema!
 
Hotels zinajengwa walipo wanyama na sio hotel tuu
Kuna camps zinazopokea wageni wengi zaid zinahama mara kwa mara kusogelea wanyama walipo
Tembelea mbuga zetu mara moja hapo serengeti na ngorongoro
Ukirud tutaongea lugha moja
Pia kuna wageni wanakuja kufanya italic wa watu wanakuja kuexperience maisha wanayoishi wamasai porin pamoja na wanyama
Wakwanza ni billgates
Huyu tajir hakuja Kushangaa wanyama
Alikuja kwajili ya wamasai na jamii za watu wakufanana na hao
pia wamasai kabla hata serikali haijaanza kuwasumbua wao wenyewe walishaanza kujigawa
Saiv wamasai wapo mikoa yote
Hata mikoa ya kusini wapo
Wameingia hata mozambique
Asili ya wafungaji wakimasai ni yakuhama hama
Hawajikusanyi sehem moja kamwe
Na wamasai wapo mbuga zote kwa wingi
Wapo ngorongoro
Wapo seulo
Wapo serengeti
Kila penye majani yabure wamasai wapo
Kwann usiseme waondolewe waliopo serengeti
Unakazania ngorongoro…??
Kwasababu ngorongoro kushauzwa si ndio
Na unaemwambia afukuze wamasai waTanganyika kwao
Yeye anakitambulisho cha mkazi Zanzibar
Awafukuze wenye kitambulisho cha Nida

Mnamtafutia mama samia ajali mbaya yakisiasa na kuuvunja muungano
Nyie wenyewe
Action za mama samia ndio zitakazouvunja muungano
Chamechambe!, serekali imetumika 16bil,kujenga makazi Msomera ili kupunguza idadi ya masai mbugani, sio lengo kuondosha wote, bali pawepo na uwiano fulani rafiki kwa mazingira!, tusiwe vipofu kwa hili, umati ni mkubwa na hatari sana kwa uhifadhi!.
 
Mleta mda una tatizo la ubongo kwani aliekua amesitisha hizo uduma ni nani?
 
Mimi nipo zaidi katika misingi ya UHIFADHI WA MAZINGIRA,
I personal worth environment!, naumia sana pale tunapo disturb mbuga na misitu yetu, binafsi nafahamu, shughuli za binadamu na maharibifu yake anapoingia pahala!
#Thought noted well.
Kwanini upande ule wa Kenya hawaharibu mazingira ila hapo ngorongoro
 
°Operation ya kuwatambua ianze, mara moja, nina mashaka kama kweli masai hawa wote ni wa tanzania, Niliwahi kutana na mmasai pahala fulani, katika kuongea nae, akaniambia yeye ni masai ya Kenya na akanionyesha kipande yake! / umakini na angalizo isije ikawa kwa umasai wao wakawa na Id za mataifa yote mawili, wanapiga kura Kenya alkadhalika wakapiga kura tanzania!

°Idadi ya masai mbugani ni kubwa mno, serekali yetu ingetafuta namna ya kupunguza wingi wao kwani ni hatari kwa Ekolojia ya ngorongoro!

°Aidha eneo la hifadhi ya Ngorongoro liwekewe mipaka kutenganisha na vijiji vya masai, na mbuga hizo ziwe zinatumika kwa malisho pekee ya mifugo na si kuongeza vibanda kila uchao!,
Mko kama sigara bwege, hqmjulikani mbele wala nyuma.
 
Chamechambe!, serekali imetumika 16bil,kujenga makazi Msomera ili kupunguza idadi ya masai mbugani, sio lengo kuondosha wote, bali pawepo na uwiano fulani rafiki kwa mazingira!, tusiwe vipofu kwa hili, umati ni mkubwa na hatari sana kwa uhifadhi!.
Tukuamini wewe au tuiamini serikali iliyofuta tarafa nzima
Nakuondoa huduma zote zakijamii..??
Nani kati yenu anaongea ukweli
Itoshe kusema kwamba
ACHA CHUKI CHUKI NI MBAYA SANA
hakuna maisha ya binaadamu hata mmoja unaweza yathaminisha na wanyama hata wakiwa 1000
Bado maisha ya mwanadamu yanathamanu kubwa sana
na unachojaribu kumshauri mama
Kama nia yako ni ya heri
Ungechagua kuishauri serikali ifanye tafiti upya maeneo yote ya mbuga na hifadhi
Yanadhurika kiasi gani na maendeleo ya wanadamu
Nadhani wakileta majibu
Maendeleo na kuongezeka kwa wamasai haitoingia hata top 10 ya matatizo ya mali asili na misitu
Huko tanga watu wanakata na kuchoma mkaa kwenye reserve kama hawana akili
Mbao za miti asili zinatoka saiv mikoa ya kusini
Bagamoyo
Majumba yakale yanabomolewa
Zanzibar ni swala la muda
Utalii utabak wabeach na sio mji mkongwe
Kilimanjaro barafu inayeyuka
Seluos nation pack saiv wameiita mwalim nyerere Unajua wamefyeka hekta ngap ..??
Ruaha national pack
Unaijua ww. Mito imekauka

Katika sehemu zimetunzwa na hazipo hatarini kupotea tunaweza jivunia kidogo serengeti na ngorongoro

Kwaiyo kama serikali inajikita kwenye kutunza mazingira ianze na sehem hatarishi kwanza
Iwaache wamasai
Wamasai wanatunza mbuga zetu
Ule ni urithi wao
Hawawezi kamwe kuhuaribu
Tudeal na sehemu nyingine ambazo ziko mbioni kuitwa majangwa na nyika

Ila mtoa mada wewe na mama yako nia yenu nikufukuza wamasai kwa vigezo vyakipuuzi
Mkidhani wale watu niwajinga sana
Kama watanganyika wengine
Muuze mbuga kwa waarabu
Tapikeni pesa za watu
 
Wewe humshauri vizuri Raisi wako wewe unamsifia tu na unajua fika hata yeye Samia ni Mwanadamu anaweza kukosea.
 
Serekali imetoa 16bil, katika kutengeneza Proportionality!, si kuondoa wote bali kupunguza wingi wao, let end, bali nitasimama na ulindaji wa ecolojia, hata kama kwingine kumeharibika basi ngorongoro yetu ibakie salama, la kujiuliza kwa nini masai - mara wana restrict masai mbugani? / wanausimamizi madhubuti.
-->>Niwapongeze masai Kenya kwa akili kubwa, wao, katika mbuga walijiunga wakatafuta kampuni wakaipa majukumu, maalumu, wakaiambia wanahitaji nini, wakatafuta eneo dogo wakafanya makazi yao, badala ya kuharibu mbuga hovyo na kila mahala. Although sheria zao na zetu za ardhi ni tofauti, wao hawatapakai mbugani.
 
kwa idadi hii kubwa ya wamasai ni dhahiri hifadhi ya ngorongoro iko hatarini kutoweka, tuulizane wote tufute ngorongoro wamasai tuwagawie mashamba?
imagine, watu wote hao wanaishi ndani ya mbuga na wanang'ang'ania waendelee kuishi humo. in 20 years to come, watakuwa 500,000 na wanyama wote watakimbia, ngorongoro yatakuwa hakuna wanyama kabisa. tumebaki na masai tu.
 
Back
Top Bottom