Chamechambe!, serekali imetumika 16bil,kujenga makazi Msomera ili kupunguza idadi ya masai mbugani, sio lengo kuondosha wote, bali pawepo na uwiano fulani rafiki kwa mazingira!, tusiwe vipofu kwa hili, umati ni mkubwa na hatari sana kwa uhifadhi!.
Tukuamini wewe au tuiamini serikali iliyofuta tarafa nzima
Nakuondoa huduma zote zakijamii..??
Nani kati yenu anaongea ukweli
Itoshe kusema kwamba
ACHA CHUKI CHUKI NI MBAYA SANA
hakuna maisha ya binaadamu hata mmoja unaweza yathaminisha na wanyama hata wakiwa 1000
Bado maisha ya mwanadamu yanathamanu kubwa sana
na unachojaribu kumshauri mama
Kama nia yako ni ya heri
Ungechagua kuishauri serikali ifanye tafiti upya maeneo yote ya mbuga na hifadhi
Yanadhurika kiasi gani na maendeleo ya wanadamu
Nadhani wakileta majibu
Maendeleo na kuongezeka kwa wamasai haitoingia hata top 10 ya matatizo ya mali asili na misitu
Huko tanga watu wanakata na kuchoma mkaa kwenye reserve kama hawana akili
Mbao za miti asili zinatoka saiv mikoa ya kusini
Bagamoyo
Majumba yakale yanabomolewa
Zanzibar ni swala la muda
Utalii utabak wabeach na sio mji mkongwe
Kilimanjaro barafu inayeyuka
Seluos nation pack saiv wameiita mwalim nyerere Unajua wamefyeka hekta ngap ..??
Ruaha national pack
Unaijua ww. Mito imekauka
Katika sehemu zimetunzwa na hazipo hatarini kupotea tunaweza jivunia kidogo serengeti na ngorongoro
Kwaiyo kama serikali inajikita kwenye kutunza mazingira ianze na sehem hatarishi kwanza
Iwaache wamasai
Wamasai wanatunza mbuga zetu
Ule ni urithi wao
Hawawezi kamwe kuhuaribu
Tudeal na sehemu nyingine ambazo ziko mbioni kuitwa majangwa na nyika
Ila mtoa mada wewe na mama yako nia yenu nikufukuza wamasai kwa vigezo vyakipuuzi
Mkidhani wale watu niwajinga sana
Kama watanganyika wengine
Muuze mbuga kwa waarabu
Tapikeni pesa za watu