Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Wizi mkubwa unaofanyika bandarini kwa asilimia 75-80 hufanywa na baadhi ya viongozi waandamizi tena wenye heshima kubwa serikalini.
Kufunga mkataba huu kutaboresha na kufunga baadhi ya njia za wizi kabisa.
Asante mama umenena na wezi kisayansi maana wengine ni watu wazito kabisa.
Mifumo yote itaunganishwa kwenye mfumo mmoja, mpaka tra, mwekezaji baada ya kuwekeza fungu lake, hatoweza kukubali abadan mfumo uchezewe, au upuuzi utakaosababisha mapato yashuke na gawio liwe dogo, Note this!