Heko Rais Samia umetupa jiwe gizani wakapambane nalo!

Huyu mama analo jambo na wazanzibar, waarabu, na, waislamu wenzake. Hakuna siri wala jipya chini ya jua. Ni mpangomkakati wa kufanya uislamu utawale nchi hii na dunia kwa jumla. Nashangaa "mikristo" ipo kimya na inashangilia. W
Mapadre, wachungaji, hamlioni hili?! Hamna macho ya rohoni?! Mko bize kudai zaka!
Mtu akiishashika uchumi wako lazima atakutawala tu! Utalazimika kufuata na imani yake ili uweze kupata mkate wako wa kila siku. Utabadilisha majina yako na kuitwa salum, abdalla, mohamed, n.k.; Si ndivyo wazungu walitufanya?! Wewe mtu achukuwe na kuhodhi bandari zako zoote, huyo si anakuwa amemiliki hata Uvuvi wako, usafiri wako wa majini, n.k.? Mtaona tu!
Wakristo wa kweli tuungane ktk maombi. Shetani hajawahi mshinda Bwana Yesu Kristo, Mungu aliye hai; hajawahi kamwe nakwambia. Na haitokuja kutokea. Hawa washirika wa majini mapepo watashangaa.
Kumbe kuna watu wanaoteseka sana ?
 
Kama wezi ni viongozi waandamizi serikalini then watashirikiana na waarabu kupiga as usual.

Hilo siyo suluhisho na bahati mbaya na washauri alioteua ni akina Bulembo!

Muwekezaji wa kumvimbia PM,VP, Waziri au Katibu Mkuu yupo wapi?

Jeshi la polisi,TRA na mahakama ni vinara kwa rushwa nchi hii,kwa hiyo tunawapa waarabu pia?
 
Kampuni binafsi mara nyingi zipo kwa mrengo wa faida kuzidisha kipato ili parcentage gain iwe kubwa ukizingatia mifumo yote ITAUNGANISHWA ili kila upande upate STAHILI halali, NANI ATAKUBALI ITOKEE SABOTAGE GAIN ISHUKE ILI PARCEE GAIN IWE NDOGO NA WAWE USELESS!, ILIYOTUMIKA NI AKILI KUBWA SANA!
HEKO MAMA SAMIAH, INTELEGENT ILIYOTUMIKA NI KUBWA KWELIKWELI, THANK YOU MADAM.
 
Huyu mama analo jambo na wazanzibar, waarabu, na, waislamu wenzake. Hakuna siri wala jipya chini ya jua. Ni mpangomkakati wa kufanya uislamu utawale nchi hii na dunia kwa jumla. Nashangaa "mikristo" ipo kimya na inashangilia. W
Mapadre, wachungaji, hamlioni hili?! Hamna macho ya rohoni?! Mko bize kudai zaka!
Mtu akiishashika uchumi wako lazima atakutawala tu! Utalazimika kufuata na imani yake ili uweze kupata mkate wako wa kila siku. Utabadilisha majina yako na kuitwa salum, abdalla, mohamed, n.k.; Si ndivyo wazungu walitufanya?! Wewe mtu achukuwe na kuhodhi bandari zako zoote, huyo si anakuwa amemiliki hata Uvuvi wako, usafiri wako wa majini, n.k.? Mtaona tu!
Wakristo wa kweli tuungane ktk maombi. Shetani hajawahi mshinda Bwana Yesu Kristo, Mungu aliye hai; hajawahi kamwe nakwambia. Na haitokuja kutokea. Hawa washirika wa majini mapepo watashangaa.
Duuu wakristo sio wajinga kama wewe
 
Kheee¿ kwamba wezi anawajua ndio kaamua kuleta waarabu kuwakomesha wezi hao???
Basi Heri tuibiane sisi kwa sisi kuliko kuibiwa na waarabu...maana hata wao watatuibia na hatutawafanya lolote

Niitieni mwanasheria wangu....🤐🤐🤐
 
Kama wezi ni viongozi waandamizi serikalini then watashirikiana na waarabu kupiga as usual.

Hilo siyo suluhisho na bahati mbaya na washauri alioteua ni akina Bulembo!

Muwekezaji wa kumvimbia PM,VP, Waziri au Katibu Mkuu yupo wapi?

Jeshi la polisi,TRA na mahakama ni vinara kwa rushwa nchi hii,kwa hiyo tunawapa waarabu pia?
Hapo kwenye jeshi la polisi wawalete kwa wingi huku barabarani. 😂😂
 
Kama wezi ni viongozi waandamizi serikalini then watashirikiana na waarabu kupiga as usual.

Hilo siyo suluhisho na bahati mbaya na washauri alioteua ni akina Bulembo!

Muwekezaji wa kumvimbia PM,VP, Waziri au Katibu Mkuu yupo wapi?

Jeshi la polisi,TRA na mahakama ni vinara kwa rushwa nchi hii,kwa hiyo tunawapa waarabu pia?
Note:- BAADHI YA VIONGOZI WAANDAMIZI, AND NOT VIONGOZI WAANDAMIZI.
 
Kheee¿ kwamba wezi anawajua ndio kaamua kuleta waarabu kuwakomesha wezi hao???
Basi Heri tuibiane sisi kwa sisi kuliko kuibiwa na waarabu...maana hata wao watatuibia na hatutawafanya lolote

Niitieni mwanasheria wangu....🤐🤐🤐
Poor understanding, always thief works sometimes massively or as a gang, dawa ni kutengeneza mfumo maalum wa kudhibiti completely, so this is what has been done! To end thefts completely!
N. B, wizi wa hapo bandarini ni mfumo au mtandao mpana unaweza kumuhukumu mmoja asiye sahihi, best way is to change the WHOLE system,kuuvunja mfumowizi.
 
Huyu mama analo jambo na wazanzibar, waarabu, na, waislamu wenzake. Hakuna siri wala jipya chini ya jua. Ni mpangomkakati wa kufanya uislamu utawale nchi hii na dunia kwa jumla. Nashangaa "mikristo" ipo kimya na inashangilia. W
Mapadre, wachungaji, hamlioni hili?! Hamna macho ya rohoni?! Mko bize kudai zaka!
Mtu akiishashika uchumi wako lazima atakutawala tu! Utalazimika kufuata na imani yake ili uweze kupata mkate wako wa kila siku. Utabadilisha majina yako na kuitwa salum, abdalla, mohamed, n.k.; Si ndivyo wazungu walitufanya?! Wewe mtu achukuwe na kuhodhi bandari zako zoote, huyo si anakuwa amemiliki hata Uvuvi wako, usafiri wako wa majini, n.k.? Mtaona tu!
Wakristo wa kweli tuungane ktk maombi. Shetani hajawahi mshinda Bwana Yesu Kristo, Mungu aliye hai; hajawahi kamwe nakwambia. Na haitokuja kutokea. Hawa washirika wa majini mapepo watashangaa.
Hongera Mkuu.
 
Hapo hamna heko, alipaswa kuwashughulikia hao wezi kama Sheria zimavyisema

Wizarani Kuna wizi pia, napo atawapa watu binafsi waziendeshe?
Kwa alio sema ni bora serikali ikabinafisishwa, na huu ni mwanzo. Mwarabu wa babu zetu aliwagawia shanga na kaniki, wa leo anamwaga pesa. Hakika historia hujirudia.
 
Poor understanding, always thief works sometimes massively or as a gang, dawa ni kutengeneza mfumo maalum wa kudhibiti completely, so this is what has been done! To end thefts completely!
N. B, wizi wa hapo bandarini ni mfumo au mtandao mpana unaweza kumuhukumu mmoja asiye sahihi, best way is to change the WHOLE system,kuuvunja mfumowizi.
Kama ni hivyo je kuna mifumo mingapi ya wizi nchini kwetu?
Je yote tutafute watu wa nje kumaliza tatizo hilo??
 
Huo ni ujinga mtupu

Huo ni ujinga mtupu, inamaana kuna kiongozi mwandamizi mzito zaid ya rais?
Maana yake sasa kama ameshindwa ku deal na hao wapigaji bas tafsir yake hana sifa ya kutuongoza
Haiwezekani kiongozi unajua kabisa flani na flani ni wezi halafu ukashindwa kuwawajibisha mbona wengine mnawawajibisha?

Huo sio uongozi bora bali ni bora uongoz

Hivi kweli inaingia akilini rais ukamuogope mtu ambaye hana madaraka yeyote?
Hata ww uliyeweka bandiko hili umemdhalilisha rais maana tulikuwa hatujui kama rais anawaogopa baadhi ya watu wewe ndio umetufichulia siri hatutaki rais muoga sisi
Asingekuwa muoga angekuwa amekwishaifumua wizara ya fedha na nishati.
 
Hivi mtu anakuwaje mkubwa kuliko masilahi ya Taiga,Watanzania tuache ujuha basi kwenye mambo ya msingi.
Kama Rais unashindwa Ku control wizi na ubadhilifu maana yake ni kushindwa Urais
 
Wengi hawajui ubinafsishaji bandari ni maandalizi ya uchaguzi. CCM uwadiapo uchaguzi kashfa za kukwapua pesa ya umma lazima utokee.
 
Back
Top Bottom