JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Hao wezi wameishawahi kutajwa na report ya CAG?kama ndio kwanini Samia hajawafunga?au ni wezi wa kufikirika?Wizi mkubwa unaofanyika bandarini kwa asilimia 75-80 hufanywa na baadhi ya viongozi waandamizi tena wenye heshima kubwa serikalini, kufunga mkataba huu kutaboresha na kufunga baadhi ya njia za wizi kabisa, Asante mama umenena na wezi kisayansi maana wengine ni watu wazito kabisa.
Tatizo hapa,hatq Samia na mwenyewe ni mwizi TU,wanaiba wote,Sasa hawezi kuwagusa,