Huyu mama analo jambo na wazanzibar, waarabu, na, waislamu wenzake.
Hakuna siri wala jipya chini ya jua. Ni mpangomkakati wa kufanya uislamu utawale nchi hii na dunia kwa jumla. Nashangaa "mikristo" ipo kimya na inashangilia.
Mapadre, wachungaji, hamlioni hili?! Hamna macho ya rohoni?! Mko bize kudai zaka!
Mtu akiishashika uchumi wako lazima atakutawala tu!
Utalazimika kufuata na imani yake ili uweze kupata mkate wako wa kila siku. Utabadilisha majina yako na kuitwa salum, abdalla, mohamed, n.k.
Si ndivyo wazungu walitufanya?! Wewe mtu achukuwe na kuhodhi bandari zako zoote, huyo si anakuwa amemiliki hata Uvuvi wako, usafiri wako wa majini, n.k.? Mtaona tu!
Wakristo wa kweli tuungane ktk maombi. Shetani hajawahi mshinda Bwana Yesu Kristo, Mungu aliye hai; hajawahi kamwe nakwambia.
Na haitokuja kutokea. Hawa washirika wa majini mapepo watashangaa.