baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Ngoja Nikuibie siri masheikh wa Dp world, hii ndio leadership yaoHuyu mama analo jambo na wazanzibar, waarabu, na, waislamu wenzake. Hakuna siri wala jipya chini ya jua. Ni mpangomkakati wa kufanya uislamu utawale nchi hii na dunia kwa jumla. Nashangaa "mikristo" ipo kimya na inashangilia. W
Mapadre, wachungaji, hamlioni hili?! Hamna macho ya rohoni?! Mko bize kudai zaka!
Mtu akiishashika uchumi wako lazima atakutawala tu! Utalazimika kufuata na imani yake ili uweze kupata mkate wako wa kila siku. Utabadilisha majina yako na kuitwa salum, abdalla, mohamed, n.k.; Si ndivyo wazungu walitufanya?! Wewe mtu achukuwe na kuhodhi bandari zako zoote, huyo si anakuwa amemiliki hata Uvuvi wako, usafiri wako wa majini, n.k.? Mtaona tu!
Wakristo wa kweli tuungane ktk maombi. Shetani hajawahi mshinda Bwana Yesu Kristo, Mungu aliye hai; hajawahi kamwe nakwambia. Na haitokuja kutokea. Hawa washirika wa majini mapepo watashangaa.
1. Sheikh Robert Wood wa Madrasa ya Uingereza
2. Amirat phumzile Langeni toka Madrasa ya South Africa
3. Mufti Daniel von Otterdjik toka Madrasa ya Uholanzi
4. Ustazi Juan Carlos Sahdala huyu anatoka Madrasa ya Dominica
5. Bila kumsahau daruweshi Vijay Malhotra
Hao ndo Maustadh waliopo kwenye Bodi na Leadership. Ya Dp world, watakuja Kueneza Dini na Uisilamu wakipewa Bandari yetu, Ni Maustadh hatari sana wengi wana uzoefu kama Miaka 30 ya uendeshaji Madrasa.