Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Je unaamini kulikuwapo na wezi ambao hata huyo JPM hakufua dafu.Hapo hamna heko, alipaswa kuwashughulikia hao wezi kama Sheria zimavyisema
Wizarani Kuna wizi pia, napo atawapa watu binafsi waziendeshe?
Yeye aliweka mtandao wake wa upigaji kuanzia waziri hadi mkurugenzi mkuu.Je unaamini kulikuwapo na wezi ambao hata huyo JPM hakufua dafu.
Ref:-aliyekuwa amejiunganishia mafuta kigamboni Dc wa wakati huo akipiga kelele wee mpaka kurushwa kwenye runinga, aliishia kutemeshwa yeye kibarua.
Huyu mama analo jambo na wazanzibar, waarabu, na, waislamu wenzake.Wizi mkubwa unaofanyika bandarini kwa asilimia 75-80 hufanywa na baadhi ya viongozi waandamizi tena wenye heshima kubwa serikalini....
kumbe tatizo sio bandari kumbe ni uislamu . ok tushajua sasa.Huyu mama analo jambo na wazanzibar, waarabu, na, waislamu wenzake. Hakuna siri wala jipya chini ya ...
Hata kwenye Ripoti ya CAG aliishia kusema Shame on you..... What next Presida ? No maajabu. kwa viongozi vilema na wapofu ni rotation tuNi ujinga na wendawazimu mtu kama raisi kutamka maneno hayo. Kama anafahamu kuna wizi na anawafahamu ilitakiwa mara moja hao watu wasimamishe kazi, wachunguzwe na kufikishwa mahakamani.
Sasa rais anaendesha nchi kwa mipasho huyo ni rais au muimba taarabu?
Acheni kusifia ujinga usiovumilika. Huyu rais tokea anaingia aliwaambia wale ila wasivimbiwe halafu unakuja kuandika kabisa uzi kumsifia?
I doubt your sanity niqqa!
Haya ni maoni na mtazamo wangu binafsi tu. Na siyo lazima yaheshimiwe.kumbe tatizo sio bandari kumbe ni uislamu . ok tushajua sasa.
Huo ni ujinga mtupuWizi mkubwa unaofanyika bandarini kwa asilimia 75-80 hufanywa na baadhi ya viongozi waandamizi tena wenye heshima kubwa serikalini, kufunga mkataba huu kutaboresha na kufunga baadhi ya njia za wizi kabisa, Asante mama umenena na wezi kisayansi maana wengine ni watu wazito kabisa.
Huo ni ujinga mtupu, inamaana kuna kiongozi mwandamizi mzito zaid ya rais?Haya ni maoni na mtazamo wangu binafsi tu. Na siyo lazima yaheshimiwe.
Narudia tena, hakuna jambo la siri ambalo Roho wa Mungu hawezi kutufunulia watoto wake. Ni mpangomkakati wa kidini. Wenye macho ya rohoni tulikwishaoneshwa tayari na Bwana Yesu Kristo.
comment yako ya kipuuzi.Huyu mama analo jambo na wazanzibar, waarabu, na, waislamu wenzake. Hakuna siri wala jipya chini ya jua. Ni mpangomkakati wa kufanya uislamu utawale nchi hii na dunia kwa jumla. Nashangaa "mikristo" ipo kimya na inashangilia. W
Mapadre, wachungaji, hamlioni hili?! Hamna macho ya rohoni?! Mko bize kudai zaka!
Mtu akiishashika uchumi wako lazima atakutawala tu! Utalazimika kufuata na imani yake ili uweze kupata mkate wako wa kila siku. Utabadilisha majina yako na kuitwa salum, abdalla, mohamed, n.k.; Si ndivyo wazungu walitufanya?! Wewe mtu achukuwe na kuhodhi bandari zako zoote, huyo si anakuwa amemiliki hata Uvuvi wako, usafiri wako wa majini, n.k.? Mtaona tu!
Wakristo wa kweli tuungane ktk maombi. Shetani hajawahi mshinda Bwana Yesu Kristo, Mungu aliye hai; hajawahi kamwe nakwambia. Na haitokuja kutokea. Hawa washirika wa majini mapepo watashangaa.
Wewe ni mdini mtu hatari kabisa, tunataka ufanisi dini is useless here!Huyu mama analo jambo na wazanzibar, waarabu, na, waislamu wenzake. Hakuna siri wala jipya chini ya jua. Ni mpangomkakati wa kufanya uislamu utawale nchi hii na dunia kwa jumla. Nashangaa "mikristo" ipo kimya na inashangilia. W
Mapadre, wachungaji, hamlioni hili?! Hamna macho ya rohoni?! Mko bize kudai zaka!
Mtu akiishashika uchumi wako lazima atakutawala tu! Utalazimika kufuata na imani yake ili uweze kupata mkate wako wa kila siku. Utabadilisha majina yako na kuitwa salum, abdalla, mohamed, n.k.; Si ndivyo wazungu walitufanya?! Wewe mtu achukuwe na kuhodhi bandari zako zoote, huyo si anakuwa amemiliki hata Uvuvi wako, usafiri wako wa majini, n.k.? Mtaona tu!
Wakristo wa kweli tuungane ktk maombi. Shetani hajawahi mshinda Bwana Yesu Kristo, Mungu aliye hai; hajawahi kamwe nakwambia. Na haitokuja kutokea. Hawa washirika wa majini mapepo watashangaa.
Udini na ukabila, vitu hatari sana visipoangaliwa umakini.kumbe tatizo sio bandari kumbe ni uislamu . ok tushajua sasa.
Bilashaka wewe ni miongoni mwa vibaraka wa vigogo waliofungiwa upigaji wao wa miaka hapo bandariniHuyu mama analo jambo na wazanzibar, waarabu, na, waislamu wenzake. Hakuna siri wala jipya chini ya jua. Ni mpangomkakati wa kufanya uislamu utawale nchi hii na dunia kwa jumla. Nashangaa "mikristo" ipo kimya na inashangilia. W
Mapadre, wachungaji, hamlioni hili?! Hamna macho ya rohoni?! Mko bize kudai zaka!
Mtu akiishashika uchumi wako lazima atakutawala tu! Utalazimika kufuata na imani yake ili uweze kupata mkate wako wa kila siku. Utabadilisha majina yako na kuitwa salum, abdalla, mohamed, n.k.; Si ndivyo wazungu walitufanya?! Wewe mtu achukuwe na kuhodhi bandari zako zoote, huyo si anakuwa amemiliki hata Uvuvi wako, usafiri wako wa majini, n.k.? Mtaona tu!
Wakristo wa kweli tuungane ktk maombi. Shetani hajawahi mshinda Bwana Yesu Kristo, Mungu aliye hai; hajawahi kamwe nakwambia. Na haitokuja kutokea. Hawa washirika wa majini mapepo watashangaa.
Hili lango kuu la uchumi lina madudu mengi mno wataalamu wa estimation wanakisia about 1/2 of its total revenue lost away! (wajanja wanajishibisha kibaya hawashibi)Bilashaka wewe ni miongoni mwa vibaraka wa vigogo waliofungiwa upigaji wao wa miaka hapo bandarini
Hamna Rais hapoNi ujinga na wendawazimu mtu kama raisi kutamka maneno hayo. Kama anafahamu kuna wizi na anawafahamu ilitakiwa mara moja hao watu wasimamishe kazi, wachunguzwe na kufikishwa mahakamani.