Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,992
Reaction score
5,665
Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako

Binadamu wanatofautiana sana, wema ni wachache, jinsia yetu ya kiume inatofautiana sana kifikra, wapo baadhi ya wenzetu fikra zao zimejikita sana kwenye ngono kwa maana kwamba maisha yao yametawaliwa na ngono, ngono kwao ni kama chakula

Mlevi wa ngono hajulikani kwa kumtazama kwa macho, usumbufu mwingi unaweza kutokea endapo ukiwa na mahusiano na mwanamke, usumbufu huu ni wa wanaume wenzako kummendea mchumba au mke wako

Hivyo basi jihadhari sana kuomba msaada kwa Wanaume wenzako kwasababu inaweza kuathiri mahusiano na familia yako kwa ujumla, wake wengi wanatumika kama marejesho ya waume zao pasipokujulikana

Katika mtaa ninaoishi yupo bwana mmoja ambaye anatatulia Wanaume wenzake matatizo ya kifedha ikiwemo mikopo na mengineyo lakini wake zao wanageuzwa kwa siri kuwa marejesho na ametungisha mimba ndani ya familia nyingi sana pasipo waume zao kugundua, ameteka mtaa mzima na kadiri siku zinavyosonga tutegemee mtaa mzima kutapakaa watoto wake

Sio kila msaada ni salama, mingine ni fedheha na dharau kubwa
 
Kukubali kuingiliwa sababu ya deni la mume ni kuhalalisha umalaya wake. Huyo hata usipokopa anaingiliwa tu na hatokosa sababu ya kuhalalisha hilo.

Ukishajua umeoa wa aina hiyo usichoke kukimbia, kimbia mno bila kujali watoto we kimbia mtalea mkiwa mmetengana.
 
Waume zao hawajui kuwa wake zao ni marejesho, huyu anayafanya kwa siri
 
Balaa mno
Hivi majuzi alimsaidia jamaa mmoja baada ya bank kutaka kuuza nyumba yake sasa kwa msaada huu sijui kinachoendelea, na fataki huyu hasaidii wanaume ambao hawajaoa ndiyo kanuni yake, ambao hawajaoa anawambia hana uwezo wa kuwasaidia
 
Shubamiiit. Itakuwa ametembeza mno maana wanawake wenye misimamo wamepungua mno.
 
Huyo Mtu hana akili za kiroho ndio maana yupo hivyo. Kumsaidia mtu alafu ukangoja shukrani huo sio msaada bali ni ushetani. Hivyo huyo ni pepo mchafu yupo kazini.
 
Mke wake ni Cheupe dawa kwakweli kinachoendelea hatukijui
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh

Upo sahihi sana sio akili za kawaida, ana lake jambo
 
Back
Top Bottom