Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Mungu sikia maombi ya watu wako Bwana!
Haswaaaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu sikia maombi ya watu wako Bwana!
Kwani deo kafanya nini kwao ? Mpaka leo wananchi wanasafiri kwa mitumbwi na kuvua kwa ndoano .
pls acha masihara, huyu jamaa ni ccm ila namkubali sana
Mungu sikia maombi ya watu wako Bwana!
Kwa mujibu wa makamba, chopa za CCM zote ziko salama
Kama kuna Helkopta iliyoanguka basi siyo ya CCM. Uongozi wa chama umethibitisha uwepo wa chopa zote bila tatizo lolote
Mkuu usilete utani au propaganda. Hii siyo siasa, ni maisha ya watu. Hebu fafanua kwa uhakika kama unajua kuhusu hili.
Tumesikia habari za chopa kuanguka huko Selous. Mungu aepushe kusiwe na majeruhi. Chopa zote zinazotumiwa na CCM kwenye kampeni ziko salama.
#J. Makamba
Mungu tunakuomba uepushe maafa, tunakuomba abiria wote wawe wazima kabisa.
Mungu aepushie mbali na kuzilinda roho zao binafsi namkubali sana FILIKUNJOMBE na siku zote amekuwa mbunge wangu wa mfano regardless chama anachotoka.