TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Kama wangeangukia anga zangu,ningewamalizia kwa mishale.Tumewachoka hawa ccm kila siku vitisho tu.25 October wakwere tutafahamiana tu.
 
We gamba baki Ktk mada! Watz wanataka kujua uokoaji unafanyika au sahv mnaunda kamati kwanza......mkishamaliza kuunda kamati jamaa watakuwa washaliwa na simba

Usipanic Mkuu Taratibu,wanaokolewa Tu.....Hakuna Kamati Yoyote Inayoundwa....
 
Dah! Kampein za mwaka u matata,hakika ukombozi wa kweli unapitia vikwazo vingi,poleni mliopata ajari,tunakuombea shujaa wetu lowasa uikomboe nchi hii
 
Kama wangeangukia anga zangu,ningewamalizia kwa mishale.Tumewachoka hawa ccm kila siku vitisho tu.25 October wakwere tutafahamiana tu.
Hahaha mkuu kama nakuona vile! Najua badala ya kuwapa first aid ungewapa tenth aid especially yule mzee mvaa mawani benyamin kama yupo ndani mwa Chopa hilo!
 
Khaa!! Hivi kweli katika raia million 45 na zaidi hakuna anayeweza kufanya chochote kuhusu hili? Hatuwezi hata tumia akili kidogo chopa zote ziliz kwenye kampeni zikaeelekea huko? :mad2:
 
ndio maana tunasema kwa dharau zenu hizi hamtakiwi kuiongoza tz tena

Tatizo wanfikiri kwamba 90% ya wapiga kura ni wasomi na wafanyakazi wa serikali,wakati hawajui 70% ya waliojiandikisha ni wale wanaowaita VIBAKA,WANYWA VIROBA,WAVUTA BANGI na WASIO NA KAZI, na ambao ni wengi.

Hawajui wanaoangusha utawala wowote ni hawa wasio na chochote.
 
Mkuu Ajali Kitu Cha Kawaida Na Sio Kitu Cha Kuombeana Na Sio Kama Natetea.
Kuna Vitu Vingine Sio Vya Kuilaumu Serikali,mf.Magari Ya Zimamoto Yapo Lakini Wanayotumia Hayo Magari Hawaweki Maji Ya Kutosha Hapo Utailaumu Serikali Au Ni Uzembe Wa Hao Watumishi?
Ndo Maana Nasisitiza Watz Tukae Katika Nafasi Zetu Tutimize Wajibu Wetu Ipasavyo..

hayo magari yanakidhi mahitaji yetu. nyumba iaungua na watu wote wanakufa bila msaada (ref Buguruni case), then unasema serkali inawajibika.Tembea uone nchi ambazo serkali zinawajibika kwa raia police, Zima moto na waokoaji wananya nini.Husitumie akili ya kukulia matatizo ukajenga hoja
 
Jibu Ntakaloweza Kukupa Ni Kushindwa Kwa Watz Kustand Katika Position Zao.
 
Hivi ni kweli hakuna mrejesho tokea tukio litokee hadi mda huu?? Duuh hii Tz kweli, au chenga la macho!!
 
Kikwete Hahamasishi Ufuatiliaji Mpole Sana,niki Mwangalia Na Lowassa Mulemule,..

Wabunge wenu ndio wamemlea wanatetea serikali badala ya wananchi. Ndio maana mnatakiwa mpumzishwe ili akili irudi.
 
God save

our fingers remain crossed!

Mungu tenda miujiza eebaba mfalme uwaye yote!
 
Ccm wameishiwa pumzi,chopa imeanguka Jana jioni ila mpakasasa kimya!!! Hawa watu hawatufai,huenda hats hiyo chops ilikodishwa mbovu kama walivyonunua ndege mbovu ya raising,kivuko kibovu na train feki
 
we malaya unafikiri kwa kutumia iyo k yako au ombea pia baba yako na mama yako kesho watanguliye kabla ya kumuombea lowassa
kumbe vinauma eeeeeh,by the way nilikuwa namquoate aliyetamani mkapa angekuwemo kwenye hiyo chopa
 
Wabunge wenu ndio wamemlea wanatetea serikali badala ya wananchi. Ndio maana mnatakiwa mpumzishwe ili akili irudi.

Solution Kwa Hao Wabunge Ni Kuwapumzisha Tu Na Kuongeza Wa Upinzani,but Kwamimi Naona Magufuli Anafaa Kuwa Rais
 
Back
Top Bottom